TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Kila wakati nimefikiria niandike nini ili kuelezea hisia zangu lakini sipati neno halisi.

Nakumbuka mara ya mwisho kuwa nawe ni ulipotoa mhadhara pale Msimbazi Catholic Church Centre kama mjumbe wa Chama cha wanataaluma wa Kanisa.

Ninaamini umetimiza wajibu wako wa kuwepo hapa Duniani, umeacha alama iliyo njema kila ulipopita. Namwomba Mungu wa Rehema, pale ulipopungukiwa akusamehe kwa kutazama yale mazuri yaliyompendeza.

Wanafamilia, namwomba Mungu wetu mfariji awapeni moyo wa unyofu ili kuyapokea mapenzi yake. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mtanzania mwenzetu mahala pema peponi, amen. Alikuwa shujaa na atabaki kuwa alama ya Tanzania hata kwa vizazi vijavyo.

Kila bianadamu ataonja umauti ila kabla ya kuondoka jiulize umeifanyia nini jamii yako, Mzee alipiga hatua kwani tunapoteza watoto hata siku hawajamaliza. "vale comes,"
 
Nakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!

Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.

Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Hilo ndio swali la uzii na wewe ndio unanipa jibu au na wewe unatoa jibu pasina kuwa na uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!

Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.

Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko china, Marekani, uingereza kwenye vifo maelfu kwa corona Hakuna vifo vya kawaida ??? Endeleeni tu kujificha ficha uzuri wa huu ugonjwa hautuui sisi tu makabwela unapiga hata matajiri na wale misukule wa Lumumba.

Hapana Mahali niliposema Corona ni ugonjwa wa kawaida,nikujulishe tu mie naelewa athari zake kuliko unavyowaza maana nishaona jamaa zangu wamedhurika nao...

Ila hapa tulikuwa tunaongelea case ya Mzee Ramadhani angalia quote vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom