Recent content by benjaminy

  1. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

    Unaenda Katavi bilashaka ni Mpanda then ukapumzike Dodoma! Kwann usipimzike Tabora kwasabb unaweza kujikuta unalala tena Tabora kwasabb kutoka dom mpaka Tabora utafika mchana sana hakutakuwa na Gari la kukufanya uendelee na safari! Ushauri wangu kapumzike Tabora
  2. benjaminy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mpenzi kunahitaji makubaliano au umri unaofanana?

    Wengine kiinglish hatujui ..it depend ndyo nn?
  3. benjaminy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mpenzi kunahitaji makubaliano au umri unaofanana?

    Mapenzi ni makubaliano ya wawili na wala si kukariri
  4. benjaminy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume wa jf

    Hili jibu maridhawa kbsa
  5. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

    Kazi ipo kwa wanasiasa Ila siasa za jpm ni za kibabe zaid
  6. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Haji tena huyu mtangoja sana
  7. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Bilashaka wewe ni tomoso awamu ya moniccca
  8. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Acha kumpotosha mwenzio
  9. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Kama jamaa kimeeleweka, lkn kama si ridhiki watakuwa kwenye maombolezo
  10. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

    Kwani amekosea nini..hastajili lawama yyte ktk hilo
  11. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Umeona eeh, yaaani wanadamu hawana dogo
  12. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Vipi monii shungulia basi kidogo huku utupe mrejesha kama jamaa yuko poa au lah
  13. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mwondoe Waziri Nnauye kabla hajakuharibia

    Mbona sioni upuuzi wowote aliyoundika mpaka umwite mpuuzi? Amejieleza kwa uwazi kbsa, ndugu wanaccm tupo wengi tunao shangazwa na maamuzi ya Nape kwenye hilo la bunge
  14. benjaminy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeumizwa pita hapa ufarijike

    Wadau nimekuja tena, lkn safari hii lengo langu ni kuleta mrejesho. Kwanza niwashukuru wote kwa kuchajia na kunitia moyo. Pili niwashukuru wote waliokuja pm na kukosa vingezo, nipende kuwatia moyo wasikate tamaa. Hatimaye nimefanikiwa kumpata niliyekuwa namtafuta...tunaendelea na mipango...
  15. benjaminy

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko sakata la elimu bure: Wakuu wa shule wagoma kuchukua mgao wa serikali, mambo yamekwama!

    Huo ni uzushi WA ukawa hakuna lolote..ni mtu gani mjinga atoe sh.2000???!!!!!
Back
Top Bottom