Kumbe na wewe una lugha za hivi?Aliyekwambia mimi nakunywa mbege ni nani ZWAZWA wewe!? Acha kujibaraguza na kukurupuka na pumba zako humu.
Ya ujinga Kama wewePumbaf kabisa mbona ccm ni chama cha upinzani?
Unadhani tumeweza kujitawala.zainaby, yawezekana umeandika kwa taharuki kutokana na yanayojiri. Kitu kimoja cha kukushauri tu ni kuwa uache mawazo ya mkoloni wa Kiingereza. Mmeshabihiana na mkoloni huyo kwa kila idara. Kabla nchi zilizotawaliwa kupata uhuru wakoloni walijiaminisha kuwa watawaliwa wale wasingeweza kujitawala hata kwa juma moja achilia mbali miaka. Takasa kichwa, badilika!
Kwa akili yako fupi hata Chakubanga wenu hakubaliani nawe.
chama cha manunuzi.watakimbia wote utabaki peke yako na bashiteHakuna cha mbadala wa ccm huo ndiyo ukweli japo ni mchungu
Wewe unaangalia majengo ya makao makuu ya ofisi au unaangalia hekima,busara na weledi Wa kuongoza?,..unataka wajenge maofisi makubwa Kwa ruzuku IPI hasa mnayowapa na serikali yenu?,..hiyo hata kulipa mishahara tu haitoshi wachilia mbali diesel na Huduma nyingine km umeme nk....Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.
Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....
Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.
Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.
Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.
Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.
Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;
Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...
Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?
Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo
Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.
Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.
Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.
Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?
Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.
Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?
Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .
Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.
Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
Unadhani hayawekwi wazi Kwa walio na chama chao?./.tatizo ni kuwa hayakufikii wewe ambae huna faida na chama,sisi wenye nacho tunajua mapato na ruzuku yetu kidogo tunayopata ya kuanzia ngazi ya wilaya,ila hatujui ya chama chenu maana hakina faida na sisi na wala hatuhitaji kujua,. Ila nyie wenye chama chenu mkijua mapato na ruzuku yenu itawasaidia nyie sio sisi tunaojichukia.Ifanye democrasia iwe wazi kwanza , tuwekeni wazi mapato na matumizi ya luzuku kwanza. Ndipo uje tuendelee na mjadala
Na kumbuka ofisi zao karibu zote zimejengwa Kwa fedha ya serikali wakati Wa chama kimoja,...Mtaachaje kuwa na ofisi Kama Ikulu ikiwa zaidi ya miaka 40 mnaiibia nchi
Wanaokusoma wataelewa kama tutusa ni nani! Unaparamia JF wakati upstair uko empty zwazwa mkubwa we!Wewe ni tutusa
mkuu kwani Lumumba mmejenga lini? si Mwaka juzi baada ya kukaa kwenye kile kijengo kama kiota miaja zaidi ya hamsini? CHADEMA Haina miajka hamsinimakao makuu ya chadema hata mimi yananitisha niwaone janja janja
Sasa dada unawashwa nini? Si ukae kwenye lichama lenu bovu?Naenda moja kwa moja kwenye mada.