Ndio aina ya uongozi tuliouchagua ili utubane wenyewe wanyonge. Binafsi naufurahia kwa jinsi uongozi huu unavyonikumbusha enzi zileeee za zi idumu fikra za mwenyekiti. Tutaisoma wote kasoro wao wahishiwa wa posho Nene wasiotaka kuonwa na kusikiwa wanavyoitafuna keki ya taifa na kuigawa nchi kwa wachina na wahindi Bure kabisa. Siye tuendelee kulala na kuuota uchaguzi ujao. Hongereni mafisadi wa ccm kwa kuufanikisha mpango wenu namba mbili.