Recent content by benitoc

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara

    Habari zenu wanajamvi! Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara. Kwa sasa sina pesa ya kulipia. Nitakuwa vizuri kifedha mwezi July. Nimeandika kwa 90%, mpango mzima. Mpango wangu wa biashara unahusu gas ya kupikia (LPGas). Kwa mwenye u tayari tuwasiliane kwa WhatsApp number +255785670038...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja na shamba lakini sio kupitia madalali

    Kiraka tuwasiliane kuhusu shamba. Napatikana kwa namba 0785 670038
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

    Ridwan ndie muwekezaji wa kiwanda hicho cha tiles? Nashindwa kuelewa maana tusije kumuingiza Mheshimiwa kwenye scandal
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamia Kilakala Secondary School

    Nitakucheki mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamia Kilakala Secondary School

    Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Abdallah Bulembo na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Wabunge

    Mabadiliko baraza la mawaziri yalee....
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Vs. Mapinduzi

    Katika maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika Rais mstaafu aliyehudhuria alikuwa ni Mzee Ruksa pekee. Lakini kwenye maadhimisho ya mapinduzi Mara is wastaafu wote wamehudhuria isipokuwa Rais wa Jamhuri! Binafsi siioni vema. Kunani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Fursa: Natafuta business partner tufuge samaki

    Kwa hatua uliyoifikia sikushauri sana kufanya ubia na mtu. Jaribu kwenda NEEC national economic empowerment commission. Muhimu uwe vema kwenye documentation. PM kwa ushauri zaidi ukipenda
  9. B

    JamiiForums Tanzania Machine za kusaga na kukoboa mahindi(brand new) zinauzwa

    Zina uwezo wa kusaga/ kiasi gani cha mahindi kwa saa?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, mnaleta lini ada elekezi kwa shule binafsi?

    Inaonyesha unafadika na hali ilivyo! Ada elekezi si tu kwa kushusha kiwango cha Ada. Ada elekezi ni kuweka viwango vya shule. Utakuta shule zina tofauti kubwa katika mindombinu na maslahi ya wafanyakazi wake lakini kiwango chao cha ada kinalingana. Pia ikumbukwe kuwa elimu ni sekta nyeti si...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulimuonea sana Mh. Dr. Jakaya Kikwete

    Ikumbukwe kuwa pamoja na kupingwa kwa kila jambo na wapinzani bado Rais ana wajibu wa kuwasikiliza kwakuwa wapo kikatiba
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

    Nafikiri mtoa post unapaswa kuligeuza swali lako maana walioathirika zaidi na awamu ya tano ni CCM zaidi kuliko upinzani. Wapinzani walishazoea kuisoma namba. CCM ndio wanaanza hivyo wana hasira zaidi ya upinzani
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

    Tatizo letu si matokeo bali kutangazwa mshindi. Kwa mfumo Ulionao ambao watendaji wa tume ya uchaguzi na vyombo vya dola wana kadi za chama tawala kamwe hakuwezi kuwa na usawa. Tusishangilie sana mfumo uliopo kwamba unawabana wapinzani. Fikiria siku ambapo mwenyekiti wa tume akatamka kuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Incubator inauzwa bei gani?

    Mayai 500 2million mcheki 0785670038 anazo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Eneo Linahitajika Kiroka Morogoro

    Habari za majukumu wakulima na wafugaji. Nahitaji eneo la kilimo na ufugaji ekari kumi. Eneo liwe kiroka mkoani Morogoro. Njoo na bei tafadhali
Back
Top Bottom