B benitoc Member Nov 16, 2010 48 15 Jan 17, 2017 #1 Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
ngopyolo JF-Expert Member Oct 20, 2013 1,940 1,517 Jan 17, 2017 #2 Fuata kanuni,kamuone mkuu wa shule ya kilakala umuombe nafasi ya kuhamia ukipata ndo uende kwenye shule anayosoma sasa watakupa utaratibu
Fuata kanuni,kamuone mkuu wa shule ya kilakala umuombe nafasi ya kuhamia ukipata ndo uende kwenye shule anayosoma sasa watakupa utaratibu
amamus JF-Expert Member Oct 3, 2016 370 236 Jan 17, 2017 #3 Marks zake zinamruhusu? (Wanaita Vipaji maalumu mkuu).
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,905 4,518 Jan 18, 2017 #4 benitoc said: Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane Click to expand... Ni PM nikupe namba ya mwalimu wa pale yeye atakupa ABC
benitoc said: Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane Click to expand... Ni PM nikupe namba ya mwalimu wa pale yeye atakupa ABC
daraja la kigamboni JF-Expert Member Apr 28, 2016 3,127 3,056 Jan 18, 2017 #5 Hawezi kuhamia hiyo ni special school Labda kama anatoka special nyingine i.e tabora girls na msalato
Hawezi kuhamia hiyo ni special school Labda kama anatoka special nyingine i.e tabora girls na msalato
Khantwe JF-Expert Member Dec 20, 2012 59,415 119,452 Jan 18, 2017 #6 McCain Kuwa basi na adabu. Unamfahamu mtoto wake?