Uhuru Vs. Mapinduzi

benitoc

Member
Nov 16, 2010
48
15
Katika maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika Rais mstaafu aliyehudhuria alikuwa ni Mzee Ruksa pekee. Lakini kwenye maadhimisho ya mapinduzi Mara is wastaafu wote wamehudhuria isipokuwa Rais wa Jamhuri! Binafsi siioni vema. Kunani?
 
Tutalinda mapinduzi kwa nguvu zote , a matter of life and death -kifo cha muungano ni kifo cha CCM .
 
Back
Top Bottom