Mimi na wife tulipoacha kujitia stress kuhusu mtoto na kuacha kuhangaika kila sehemu na kuamini kwamba ipo siku Mungu atabless, na kweli tukapata mtoto
Hio hali nilishawahi pitia, nachotaka kukwambia kama Mungu alikupangia kupata mtoto utapata. Acha kuhangaika kwa waganga, wewe amini ipo siku utapata mtoto.
Mimi na Wife tuliacha kuwaza hili jambo na Mungu akatujaalia siku ilipowadia. Nilihangaika kama wewe ila mwisho niliachana na hayo mambo...
Hivyo vitu na finishing ya nyumba ni gharama sana, ndo mana wanashindwaga kutimiza. Wanatoa ahadi kua watakamilisha ilihali hawataweza na wanafahamu kua finishing ya nyumba ni gharama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.