Huwa sipendi kutoa kutoa sifa kwa binadamu wanapotekeleza wajibu wao lakini kwa utendaji wake mheshimiwa rais anasthili kila aina ya sifa kwa haya anayoyasimamia na kuyatekeleza mwenyezi mungu amlinde sana saana yani.
Wakati mwingine unalazimishwa useme kutokana na tukio,lakini wakati mwingine unanyamazishwa kutokana na tukio hilo hilo, sasa sijui ni makusudi au? Tulikuwa wapi, yaani ni kweli hatuelewi, hatuoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.