Recent content by benaboy

  1. benaboy

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Kajala kama si ushamba ni nini?

    Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
  2. benaboy

    JamiiForums Tanzania Macho kama kigezo cha kujiunga na Jeshi

    Wakuu wa kaya nauliza hivi kwenye lile kadi la vipimo vya macho ikiwa huoni vizuri mistari ya chini jeshini HUINGII?? Na je MACHO ili yake kigezo cha kukataliwa jeshini inatakiwa uwe na shida kwa kiasi gani kulingana na lile chart la vipimo?
  3. benaboy

    JamiiForums Tanzania Simba kutoka kapa mwaka huu

    Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
  4. benaboy

    JamiiForums Tanzania Inawezakana CDF na IGP wakapiga salute kwa mkuu wa Wilaya?

    Kila nikiangalia hii picha nashawishika kuuliza hivi ni nani mkubwa kati ya hawa wawili kivyeo na mamlaka
  5. benaboy

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    Jamaa wanakwama wapi sijui
  6. benaboy

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    Unaoruhusiwa ni upi?
  7. benaboy

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    Yaaani hii ndio nia yangu kujua
  8. benaboy

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    Jamaaani nauliza ukiwa na Mwanya je huwezi jiunga na jeshi? Au ni vigezo gani kuhusiana na MENO vinaweza mkwamisha mtu kujiunga na jeshi la JWTZ
  9. benaboy

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    Wakuu nauliza hivi mtu akiwa na mwanya haruhusiwi kujiunga na jeshi ?? Au ni namna gani investigation ya MENO inafanywa kabla ya mtu kujiunga na jeshi.
  10. benaboy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

    Huyu jamaa yupo sahihi kwa kiasi fulani.... Kwa uhakika zaidi unaweza google BCG VACCINE SCAR.
  11. benaboy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Happy likes
  12. benaboy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Happy likes
  13. benaboy

    JamiiForums Tanzania Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

    Sio ilivyorekibishwa...Ilivyorekebishwa
  14. benaboy

    JamiiForums Tanzania Scholarahip kwenda nje 2018

    Naskukuru sana mkali....lakin nimfatilia hii inataka mtu awe tayari na matokeo.......ivi hatuwez pata ambayo inaruhusu application mpaka angalau yatoke matokeo ..maana necta dogo anapiga mwaka huu
  15. benaboy

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro kama ulivyoonekana leo asubuhi

    Watalii wataanza kumiminika sasa
Back
Top Bottom