Inabidi wafanye hvyo tu mkuu maanakuna wengine wakivua miwani wanaona wenge tu, sasa ukiwa na watu kama hao 10 tu kwenye combania au section yako, aloo section kamanda umesiha[emoji28]
Maana wakiwa kwenye medani ya vita ikitokea zikapotea au wakapoteza askari baadhi tu miwani huoni unaongeza vipofu hapo [emoji28][emoji28]