Recent content by belinda john

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Tunakereka sana na zile skin tight zenu

    mshnzy wewe ungeeliza ueleweshe,sio ushamba maumbile ya mwanamke ni tofauti na nyie na kwaataarifa yako mwanamke anavaa tight kuzuia sichubuke mapaja akitembea ndio maana unaona anavaa akivaa skirt na gauni na saa nyingine anavaa vyote ivyo kama nguo ni nyepesi kwake ili kujistiri......siku...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

    too much of everything is harmful,binafsi sipendi mwanaume mr know it all maana saa nyingine anakuwa na kiherehere,anayeongea sana maana anaboa sometimes,na aliyekuwa na proud maana anajiona ndio bora sana kuliko wengine,kama umempenda huyo dada jaribu kuwork on urself kwa kupunguza vitu...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

    like, like. like, like, like,....umeongea point mkuu
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

    huna hata aibu mwanaume mzima unatumia jasho la mwanamke,huna lolote wala hauna mapenzi ya kweli na huyo mama hapo ulipo unakimchepuko chako huko kinachokuliwaza,unasubiria mama wa watu afe ili wewe ndio urithi mali zake,na kwa taarifa yako tofauti ni kubwa sana kwa mwanamke wa 18 kuwa na babu...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua, potelea mbali, liwalo na liwe

    hahahahaahah kweli kabisaaaa,maana mume gani ambae anachanganya siasa na mapenzi,mwanaume gani anayeshindwa kuelewa kwamba siasa ni mchezo mchafu ambao ni wakupita na penzi la dhati ni la milele,mume gani ambae anamawazo kwamba kuwa mchumba wake lazima muwe na idea sawa ya siasa,mwanaume gani...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka keki wakati siku yake ya kuzaliwa imeshapita!

    hivi hawa form six waliotoka jeshi hawajapangiwa tuu vyuo ili wawe busy na mikakati ya kwenda chuo?..ni nini hichi aisee cha kuja kuomba ushauri hapa?..dogo ebu usituchoshe msaada ni jipange kimaisha songa mbele achana na maswala ya siasa ya hii nchi we angalia maisha yako na mwelekeo wako...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati ya kupendwa

    alafu anaonekana hana moyo wa kutoa,anaonekana bahili sana,mwanamke huwatosa wanaume bahili cos wanajua hata wakiolewa nao hawatapata matunzo au hata watakuwa wagumu kutoa hela kwaajili ya mambo ya nyumbani,..
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    nimeipenda hii mrsleo.well said.....:A S 41:
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    kwanza naomba nikutukane alafu nikuombe msamaha,..wewe ni mshenzy,mburula na mpumbavu..smahani kwa kukutukana wewe ni mke mbaya sana na sio mwaminifu kwa mumeo maana inakuaje unamsaliti mumeo hadi unabeba mimba,kwanza kwanini haukutumia condom,pili kwanini na rafiki wa mumeo hauna adabu wala...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    kweli kabisa,huyo mkeo ni anaroho mbaya tena ya kiukatilii nakusikitikia sana kwa kukusea kumuoa maana huyo mwanamke anaweza kuja kukufanyia kitu kibaya na cha kinyama sana maishani kuwa nae makini sana,na wala hana akili maana ameshindwa kutambua kwamba huyo mwanamke alitongozwa kama yeye...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

    mmmmmmmmmmh vipimo vyote ivyoooo kiruuuuuuuuu!!!!!!!:shocked:,kwa style hiyo utapata mke kweli maana je blood group msipomatch,unamtupilia mbali,je ukikutana na mwenye sickle disease unatupilia mbali pia,kwa sytle hii utampata wa kumuoa kweliii,....
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyenitoroka amerudi na mimba

    mimba huanza kuonekana kwenye mkojo baada ya siku 7 yaan baada ya week,na maumbile ni tofauti wengine huonyesha dalili za mimba na maswahiba yake ndani ya week hiyohiyo ya kwanza,kama kuumwaumwa,kichechefu,mood swings na vinginevyo,.....
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyenitoroka amerudi na mimba

    je unahisi mimba ni yako?kama unahuakika mimba ni yako basi msamehee mlee mimba na mtoto maana kuna wanawake wengine wakiwa wajawazito hata ya week mmoja akili zao zinavurugikaga na hata moods zao hubadilika wanakuwa tofauti,na wengine hadi hupata kichaa cha mimba,so msamehee tuu jaribu...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuchukua maamuzi magumu, kuweka wazi kila kitu

    ole wenu nije nisikie mnasema wanawake sio waaminifu,nadhani mnaona chonzo cha wanawake wanaowacheat waume zao sababu ndio kama hizi anazofanya huyu mwanaume,maana inauma sana mtu unamuamini alafu unakuja kufind out he is cheating on you,unadhani mwanamke atafanya nini kuupoza moyo wake kama sio...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    Kama shida ni msamaha na amani ya moyo,wewe kama ni mkristo nenda kanisani katubu na toa sadaka ya kutubu,chonde chonde chonde chonde,yaan usithubutuu kumwambia kama unahitaji ndoa na hautaki kuwahaibisha wazazi na ndugu zako, usimwambie lolote yaan hiyo ndio iwe moja ya siri yako itakayoenda...
Back
Top Bottom