Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Nijibu mkuu! Wewe ni search engine ya google, yahoo, mozilla, explorer, torch, uc browser au nini? Halafu mwanamke hataki maneno ni vitendo au hujui kugegeta na yenyewe uende internet.
 
Inaaay!!! Iujis inan aynagnadmila oyah agniju uputm uuh!! Oot hcum wonk ebmuk tnod wonk.

Atokoika noitamrofni ukuh adneana ailumisuk, awifisika abmawk aujana utiv isab awhcik abmivanik abmawk eyey in suineg. Amon anas.
 
kashasema sababu ya kukuacha mbona sisi wapole hatupendwi na upole wetu
 
Maelezo yako yametoa wasifu wako... una safari ndefu maana naona utaachwa hadi uache majivuno.... Atie najua mengi, nna akili, najua kusocialize, sasa mbona mtihani wa mtoto wa kishua umekushinda???? Tatizo lako una spidi na unakimbia hata kupitiliza kwenu... Tambua udhaifu wako usaidiwe.
 
Nijibu mkuu! Wewe ni search engine ya google, yahoo, mozilla, explorer, torch, uc browser au nini? Halafu mwanamke hataki maneno ni vitendo au hujui kugegeta na yenyewe uende internet.
Mkuu sio hivyo
Kuhusu hilo la kujua mengi ni langu moyon ikitokea nikakuona uko interest na vitu flan basi na mimi ndo huwa naku support mule mule
Mfano nikijua starehe yako ni muzik wa dans basi kwangu utapata info mbalimbali kuhusu mambo hzo kifupi utafurah sana kunisikiliza lakini kwa bint imekuwa tofauti amekuwa akinidharau hana hisia kali za kimahaba na mm
 
Bora amekuacha khaaaa!
Mbona sasa wanajamii wenzangu wananikubali sana?yaani tena sana huwa napigiwa simu na warembo wengi wanataka tukapge nao stori na huwa nasema sana ila natema pointi tu
 
Mimi c

Eti juzi from now where kaamua kuachana na mimi, nikamuuliza rafiki yake akanambia eti binti havutiwi na mimi sijui ooh na kiherehere sijui mara ooh naongea sana.

Sasa huyu mwanamke ana matatizo yake au ndo wanawake wote hawavutiwi kimapenzi na wanaume wa tabia zangu?
mkuu unayejua vitu vingi hapo ulimaanisha nini?
 
Atokoika noitamrofni ukuh adneana ailumisuk, awifisika abmawk aujana utiv isab awhcik abmivanik abmawk eyey in suineg. Amon anas.

Hahaha em amesan iweleijah uyuh asibak ejipokata yrots iujizah asas
 
Nakuelewa na ni ngumu kujizuia kuongea kama una ufaham na mada inayoongelewa!nina rafiki yangu watu wengi hasa wasiopenda kusoma vitabu na magazeti au kusikiliza taarifa za habar za kimataifa wanamuona ni muongo sana na mjuaji!Ukweli ni kuwa jamaa yuko well informed habari nying Duniani.Ajabu ni kuwa watu hao hao wakiwa na ubishi wa kitu wananipigia "muongo" kumuulizia
 
"mimi ni mpole sana na wakati huohuo ni mzungumzaji sana"..is it make sense?

hii ni sawa na harlot anayejinadi kuwa yeye ni bikra

anyway,labda hukumwambia hizo sifa ulizo zitatanza kwenye huu uzi!

Kuna mpole na mkimya. Yeye ni mpole
 
Hamuendaji. Respect her decision and move on
 
mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa.

Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole sana kifupi sijawahi kuwa na historia ya kugombana na mtu.

Kutokana na utu nilionao watu wa jinsia zote na wa kila rika wamekuwa wakipenda kukaa na mimi, alafu kubwa zaidi mimi ni mtu ninayejua karibu kila kitu hamuwezi kuamini lakini najua lugha za makabila zaidi ya 10 kuzizungumza japo sio kiufasaha sana, najua pia kufanya kazi nyingi na kwa bidii yaani kila ninayeishi nae huwa anadai kunifurahia sana naweza nika socialize na kila mtu najua kuchekesha, watu wote wananipenda kwa sababu kila tukipga stori huwa nasikiliza na pia nachangia kwa hoja nzuri na zenye maana, ikumbukwe pia ni muongeaji mkubwa sana.

Tukiwa wawili naongea sana napenda kutawala mazungumzo yote nikigundua unapenda mieleka basi ntajitahidi kufuatilia nini kinaendelea ili siku tukikaa tukipga story kuhusu mieleka basi ntakuwa nakuteremshia habari zote kwa ukweli na uhakika hivyo hivyo pia katika muziki, siasa, biashara, tiba, movie, utani, fasheni, science na technology najua kuhuru sanaa pia nafanya sanaa.

Chumbani kwangu kuna vitabu vingi sana zaidi hata ya 200 alafu pia natembelea mitandaon sana hata hapa jfkaribia kila jukwaa natembelea kujifunza kutoka kwa magreat thinker wenzangu hivo najua mengi sana.

Sijisifii lakini nahisi nina akili sana na nikigundua hulka yako, kama ni marafiki tunaokutana mara nyingi basi ntafanya juu chini nijifunze mengi unayopenda kusikia ili twende sawa, najua kucheza na akili za matajiri mpaka maskini , watoto wadogo wananipenda sana, wazee pia wanadai na nidhamu sana na ni ukweli mtupu nahisi sijazaliwa na hasira.

Watu wengi sana wanapenda ku share mambo yao na mimi na kwa kulijua hilo mda wote nachunga ulimi wangu nisikukwaze wala kuongea mabaya.
Kimsing nadhani mmeshanielewa mimi ni raia wa aina gani.

Hivi karibuni nilipata mpenzi mtoto flani wa kishua nikawa nikikaa nae nampigisha stori weeh kama ilivyo tabia yangu na kwa kuwa mdada mwenyewe sio mwongeaji kivile na mimi kama nilivowaambia najua kila kitu basi ikawa ndo jukumu langu kumstorisha .

Eti juzi from now where kaamua kuachana na mimi, nikamuuliza rafiki yake akanambia eti binti havutiwi na mimi sijui ooh na kiherehere sijui mara ooh naongea sana.

Sasa huyu mwanamke ana matatizo yake au ndo wanawake wote hawavutiwi kimapenzi na wanaume wa tabia zangu?

survivor series roman reigns won the wwe world....sheamus cashed in....nw .....leo smack down...babaaa
 
too much of everything is harmful,binafsi sipendi mwanaume mr know it all maana saa nyingine anakuwa na kiherehere,anayeongea sana maana anaboa sometimes,na aliyekuwa na proud maana anajiona ndio bora sana kuliko wengine,kama umempenda huyo dada jaribu kuwork on urself kwa kupunguza vitu flaniflan,kama haujampenda sana let her Go maana u guys wont match na hamna mutual habits,itawafanya muone mnaboana tuu kila mkiwa pamoja
 
How do you do u know unajua mambo mengi - Kwa kina kipi? Binafsi kabla sijafika katikati ya hoja yako nilishakuwa bored na uandishi wako. Unaonekana upo manipulative , kujifanya umo halafu yawezekana umesearch vitu kijuu juu hadi ukaharibu ushaona mtu anasimulia alivyoona Niagara falls India ? au kwenda Taj mahal Thailand? nadhani umeeleewa . Sometimes you don't have to overdo things , be natural kama wewe ni mpenzi wa sports na mwenzako ni mitindo it becomes better kila mtu akimuupdate mwenzake kuhusu hobbies zake. But unawterdown maongezi kwa kwenda kula nondo za fashion kisa kesho yake uanze story refu za fashion? afu story zingine hazifit personality hebu jitathmini kaka. Pili kina dada wanapenda kusikilizwa zaidi - now you control the show left right and center nani atapenda hayo?
Pia nikushauri kwenye jamii zingine hata kama unajua kila kitu (kama unavyojiita) , take time to read peoples behaviours, cultures etc sio siku za mwanzo hata urafiki haujakomaa ushatawala mazungumzo. Its kind of show off to some people!
 
ni kweli kwamba
a) una ongea sana sana wanawake hawapendi sana hivyo.
b) unapenda sana kujisifia na wanawake hawapendi sana wanaume wanaojisifia mfano hapa ktk uzi wako umetumia 2/3 kwa misifa tu.
c) kitendo cha kusema una tabia ya kutawala mazungumzo mwanamke anakuwa hana amani kwa maana ya kuwa uwezekano wa kuwatongoza rafiki zake ni mkubwa sana.
d) kwa hiyo tabia yako ya kuongea sana ina maanisha hata siri za huyo mpenzio ni rahisi sana kuzitoa maana ktk kuongea sana ni lazimi kuna maneno yatakuteleza ambayo ni siri za chumbani.
e) jifunze kwa wanaume wenzako walivyo ( tulivyo) . wanaume hatujitangazi hadi mwanamke mwenyewe ajue kumbe jamaa ana hiki na hiki. kwa nikuonavyo wewe siku uki graduate unaweza tembea na joho mtaa mzima na kwa wiki nzima maana ndo nilivyokusoma.
 
How do you do u know unajua mambo mengi - Kwa kina kipi? Binafsi kabla sijafika katikati ya hoja yako nilishakuwa bored na uandishi wako. Unaonekana upo manipulative , kujifanya umo halafu yawezekana umesearch vitu kijuu juu hadi ukaharibu ushaona mtu anasimulia alivyoona Niagara falls India ? au kwenda Taj mahal Thailand? nadhani umeeleewa . Sometimes you don't have to overdo things , be natural kama wewe ni mpenzi wa sports na mwenzako ni mitindo it becomes better kila mtu akimuupdate mwenzake kuhusu hobbies zake. But unawterdown maongezi kwa kwenda kula nondo za fashion kisa kesho yake uanze story refu za fashion? afu story zingine hazifit personality hebu jitathmini kaka. Pili kina dada wanapenda kusikilizwa zaidi - now you control the show left right and center nani atapenda hayo?
Pia nikushauri kwenye jamii zingine hata kama unajua kila kitu (kama unavyojiita) , take time to read peoples behaviours, cultures etc sio siku za mwanzo hata urafiki haujakomaa ushatawala mazungumzo. Its kind of show off to some people!
U really a great thinker!!!!asante mno
 
Back
Top Bottom