Aristidi selestin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 384
- 58
mmh! japo ni moja ya ushauri lakin...
Sasa ulitaka akwambie endelea,nae
mmh! japo ni moja ya ushauri lakin...
Unaumri gan mkuu??
Sasa ulitaka akwambie endelea,nae
Ndugu wanajukwaa,
Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.
Kwa kumbukumbu ilikuwa kama tar 22 mwezi wa 6,Jana majira ya mchana nikiwa kwenye chumba changu cha kupanga alichoniacha nikiwa sina kitanda wala nguo ya kubadilisha nikasikia watu wanapiga hodi.
Baada ya kufungua nikamkuta ni yule aliyekuwa mpenzi wangu yupo na rafiki yake na wakati huo alikuwa analia akiomba nimsamehe kwa alichokifanya.
Nikajaribu kumuuliza vitu alivipeleka wapi amedai eti yeye aliviacha ndani hakuchukua chochote isipokuwa wakati anaondoka hakufunga mlango kwahiyo wezi wanaweza kuwa waliingia baada ya yeye kuondoka.
Lakini sikuishia hapo nikamuuliza nini kilimfanya atoroke akaniambia yeye mwenyewe haelewi kwanini alifanya vile na bado ananipenda anahisi ni pepo tu lilimuingia.
Kibaya zaidi nilipoenda kumpima tayari ana mimba ya wiki 3 ila hajaathirika.
Je, kama ndo wewe ungemfanyaje?
Nakushauri muache ajifungue alafu mtoto mpeleke kwa baba yake....funga naye ndoa...kabla ya ndoa afanyiwe kicheni pati,vyombo atakavyozawadiwa umwambie ni mali yako kufidia vile alivyoiba...alafu mpe talaka arudi kwao...maisha yanaendelea
Pepo lake linataka kulisalimia pepo lako.
Ni issue ndogo tu
Ndugu wanajukwaa,
Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.
Kwa kumbukumbu ilikuwa kama tar 22 mwezi wa 6,Jana majira ya mchana nikiwa kwenye chumba changu cha kupanga alichoniacha nikiwa sina kitanda wala nguo ya kubadilisha nikasikia watu wanapiga hodi.
Baada ya kufungua nikamkuta ni yule aliyekuwa mpenzi wangu yupo na rafiki yake na wakati huo alikuwa analia akiomba nimsamehe kwa alichokifanya.
Nikajaribu kumuuliza vitu alivipeleka wapi amedai eti yeye aliviacha ndani hakuchukua chochote isipokuwa wakati anaondoka hakufunga mlango kwahiyo wezi wanaweza kuwa waliingia baada ya yeye kuondoka.
Lakini sikuishia hapo nikamuuliza nini kilimfanya atoroke akaniambia yeye mwenyewe haelewi kwanini alifanya vile na bado ananipenda anahisi ni pepo tu lilimuingia.
Kibaya zaidi nilipoenda kumpima tayari ana mimba ya wiki 3 ila hajaathirika.
Je, kama ndo wewe ungemfanyaje?
Acha uongo wee kenge... Mimba inaanza kuonekana ktk mkojo baada ya wiki mbili. Na hamna namna ya kuitambua mimba ya wiki tatu labda uwe unaishi na mwanamke na mnafanya countdown ya siku mnazokutana. Hivo acha kudanganya UMMA wa JF
youngsharo
Wewe unahitaji kuambiwa nini katika mazingira hayo? Mbona kila kitu kipo wazi, achana na huyo mwanamke hakufai. Ila kama una ugonjwa wa kupenda na kujitoa akili basi endelea.
mimba huanza kuonekana kwenye mkojo baada ya siku 7 yaan baada ya week,na maumbile ni tofauti wengine huonyesha dalili za mimba na maswahiba yake ndani ya week hiyohiyo ya kwanza,kama kuumwaumwa,kichechefu,mood swings na vinginevyo,.....