Recent content by belie

  1. belie

    JamiiForums Tanzania Startimes yatoa ufafanuzi kuhusu kuonekana chaneli za nyumbani

    ila jaman watatnzania tumezoea mteremko, kha!! kampuni gani ikupe king'amuzi bei rahisi hvyo? bado tena muone bure? m ndo mana nahisi wakatofautisha.kama unataka kuona channel bure, nunua kwa bei kubwa
  2. belie

    JamiiForums Tanzania Startimes yatoa ufafanuzi kuhusu kuonekana chaneli za nyumbani

    sasa we nawe hata aibu huoni, unanunua 22000 bado unasema uone channel bure, dstv au azam sijui unanunua laki na ushee, bado unalipia local channel, :cool:
  3. belie

    JamiiForums Tanzania Startimes yatoa ufafanuzi kuhusu kuonekana chaneli za nyumbani

    Julai 14, 2016 UFAFANUZI KUHUSIANA NA HUDUMA ZA STARTIMES Kampuni ya StarTimes Tanzania kupitia ving’amuzi vyake imejizatiti kuhakikisha watanzania wote wanafikiwa na huduma za matangazo ya dijitali kwa gharama nafuu ambayo kila mtu ataimudu. StarTimes inajivunia kuwa kampuni iliyoleta...
  4. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshajiuliza kwanini unawapenda sana wanawake/wasichana?

    mi nmeshajua.... kwa sababu nampenda
  5. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa kizazi hiki

    Tuambie kilichokukuta ndugu! mana kama una dukuduku hivi....
  6. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anagombea ubunge, sina amani

    Na wewe gombea udiwani....:glasses-nerdy:
  7. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona sijui kwanini?

    Ulienda kusalimia au unakaa moja kwa moja? mana toka December mpaka leo!! mweh?!
  8. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    ngoja waje....
  9. belie

    JamiiForums Tanzania Kina dada na kina mama wenye elimu ndogo huthamini sana nywele kuliko wale wasomi

    na huyu waziri wa michezo, twende kilioni kila siku....... utajuaje kama wanatimiza masharti
  10. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kufanya maamuzi magumu no 2

    Hayo maamuzi magumu mbona sijayaona,?
  11. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utani sio kwenye mapenzi jamani

    usikute huyo mke ni wew....
  12. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alivyokuwa ameumbika Hamida

    viroba vya jioni hivi....
  13. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa haraka

    inategemea anafanyiaga wapi hayo mapenzi.....
  14. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

    hahahahah.... masikini huruma!! afu anaomba ushauri.......
  15. belie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

    the secret is safe....:poa
Back
Top Bottom