Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 85
Habari wajamvi.
Kama mjuavyo haya masuala ya mapenzi, nimeona vyema kufungua uzi huu ili kuweza kujadili kwa marefu sana matatizo ya mahusiano kuvunjika.
Swali, kwanini uliachana nae na kwa nini uliachwa?
Je, hilo kosa ulilofanya ulistahili kuachwa au kuacha?
Tukiwa siriasi tunaweza kuwafundisha jinsi ya kuishi na wenza wao walio kwenye mahusiano.
Karibuni wadau