Recent content by belias zmmd

  1. belias zmmd

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Ndugu najua now nikama limemalizika kundi la kwanza means 50 monie na 50 jioni !! Next wik 100 nyingine then the 3week 100 means wale wapromo mia3 wanakuwa wamemalizika ambayo itakuwa kama tarehe 30 hv kama sjakosea!!! Wazo langu kwako Mr. Antorio nimoja!! Kuna watu wengi ambao tumekwama...
  2. belias zmmd

    Muziki mzuri; The Lumineers.

    Goood Sent using Jamii Forums mobile app
  3. belias zmmd

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Napenda kukuuliza kijana Ontario kuhusu Swala la mda wa Training Means start time for Training !! Kingine Kunavigezo vyovyote vile vinavyotakiwa kama qualification ? Pia wenzangu namimi tulio vimba na vitabu vyote ulivyotaja nakumaliza kuvisoma ila tukawa nachangamoto ya kutokuwa na laptop...
  4. belias zmmd

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Misuri yatima tupo wengi ila hii kitu inahitaji mentor coz kunamahali unasoma unaelewa ila pengine panahitaji mentor Mr Ontorio I will join to your class ila nahisi Darasa litakuwa zuri endapo utapunguza temper nasomaga post zako I see the way you react to people who seemed to charange you ...
  5. belias zmmd

    Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

    Kufanya kazi ofsi moja sio tatzo au kufanana but huwezi jua huyo Dada anafanya kazi kwanafasi hiyo but other side anayake anafanya namaanisha anaweza akawa hata member wa vipepeo weusi Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  6. belias zmmd

    Line za TTCL

    Good kwa taarifa yk coz nami nilikuwa nahitaji huduma yako
  7. belias zmmd

    Miaka 8 bila kutongozwa

    Hapana atakuwa namatatzo tena makubwa
  8. belias zmmd

    Miaka 8 bila kutongozwa

    Atakua ajishaua tu huyo na kwanini umsemee ww
  9. belias zmmd

    Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Mwaka huu nishiida!! Ila hilo tatzo sio lakumuita Fundi ishu nikwamba wanataka ulipie hata mm hilo tatzo ninalo sana ukiweka salio Chanel unaangalia kama kawa ila likiisha unabakiwa TBC1 tu! Blaza lipia !
Back
Top Bottom