Recent content by Beka78

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na ualimu ngazi ya cheti

    Sasa Hivi Ualimu Ni Stashahada Miaka Mitatu Vigezo Ni Ufaulu Wa Distinction Hadi Credit Point 1.6! Apply Sasa Kama Vigezo Vipo, Muda Bado. Application Ni Online Nacte
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mons Liberatus Sangu ateuliwa na Papa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

    Hongera Sana Mkurugenzi Wangu Wa Miito Na Mlezi Wangu Nilipokuwa Kituo Cha Malezi Bakanja. Huyu Ni Mnyenyekevu Na Mpole Sana, Tulipokuwa Chini Yake Hakuwa Na Makuu. Ni Mtu Wa Ibada Na Maadili Ya Kiroho Kiwango Cha Juu. Karibu Baba Nipo Bariadi!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

    Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Narekebisha Kidogo "Hata Uaskofu Si Daraja, Bali Daraja Ni Upadre Porojo Nyingine Zote Ni Huduma Tu" Kardinali, Askofu Wanabaki Kuwa Mapadre Tu, Tofauti Ni Wakfu Waliotiwa Ili Kuongoza Kanisa Mahalia.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msumari wa Mwisho kwenye Jeneza la Katiba Mpya

    Nina Shaka Juu Ya Elimu Na Ufahamu Wako, Muuaji Mkubwa Wewe! Hivi Unaweza Tetea Ujinga Na Upumbavu Waliofanya Ndugu Zako? Eti UKAWA, Kitu Gani Upuuzi Mtupu! Elewa Kuwa Kukimbia Changamoto Au Tatizo Ni Ujinga, Kwa Nini Usikae Ili Kutatua Tatizo Husika? Vibaka Wenzio Walifuata Posho Tu, Sasa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Songea lapata askofu mpya

    Usinichokoze, Maana Nimekuwa Mhariri Wa Ngazi Kwa Miaka Minne Nikiwa Peramiho Major Seminary
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Bariadi hakuna hata Division 2 moja wilaya nzima

    Nadhani Mleta Mada Hujitambui Kwa Kutuletea Uongo. Bariadi Division One Na Two Zipo Kibao Tu. Nakupa Mfano Wa Shule Ambayo Tunasema Haikufanya Vizuri. IBULYU SEC: DIV I=0, DIV II=3, DIV III=3, DIV IV=12, DIV 0=7 Tuambie Hizo Two Na Three Ambazo Hujaziona! Acha Kuvurugwa Kijana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Walimu waliotoa maoni kikao cha NAIBU WAZIRI Aggrey Mwanri wasimamishwa Kazi na Mkurugenzi.

    Nadhani Wewe Ni Taahira
  9. B

    JamiiForums Tanzania Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    Hoq Wote Ni Wale Wale Mtaumia Sana. Mtaumia Sana " You Can Fear Even Your Shedol!" Hitlwr
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM iutumie uchaguzi mdogo ujao kuipima CDM - Isiibe kura

    Huo Ni Ushenzi Cdm Hawana Kitu! Chama Gani Cha Namna Hii! Sisi Wananchi Tunashangaa. Hampati Nchi Ng'oo Timewajua Mlivyo, Si Zitto Tu Bali Hamujitambui! Jinga Sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Simiyu Nayo Kimya! No Salary And Mr. President Yupo Huku Anakula Maisha!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimejiondoa rasmi CHADEMA

    Chadema Msijidanganye Kwa Kudhani Siasa Ni Mitandaoni Tu! Imarisheni Chama Nje Ya Mitandao, Maana Mitandao Haipigi Kura Hata Siku Moja. Mnang'ang'ana Na Siasa Nyepesi Na Hafifu Ilhali Wapiga Kura Wanazidi Dhoofika Kwa Kukosa Weredi. Mlianza Vizuri Na Kuvuta Hisia Za Wengi Leo Hii Mmebadilika Na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmelewa sifa, Mnapoteza uhalali wa kukabidhiwa dola!

    Mleta Mada Hongera Sana, Maana Umetoa Somo Zuri Kwani Sikio Lenye Kiburi Hukumbwa Na Mauti! Kwa Mwenendo Wa Chadema Hadi Sasa Mabadiliko Chanya Yanahitajika Sana Ili Kiwezefikia Malengo Ya Kushika Dola. La Sivyo Tutaishia Kufukuzana Na Mwishowe Kila Mmoja Hata Hao Wanaodhani Kuwa Ni Miungu Watu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya uchakachuaji wa digrii za wahitimu wa UDOM: CCM wahusishwa

    Dr. Bali Ni Dean Wa Skuli Fulani Pale Udom, Si Mkuu Wa Chuo. Madam Nyang'anyi Ni Tatizo Lililo Wazi Kabisa; Alipandikizwa Tu Pale Hata Maadili Hana Kabisa!
Back
Top Bottom