Wadau mimi niliwahi kusomea Bariadi, sasa Simiyu, wakati ule tulikuwa tunafaulu kwa wingi. Nimefanya utafiti katika matokeo ya sasa kidato cha 4, Wilaya nzima kwa upande wa shule za serikali matokeo ya form four sijaona hata kijana mmoja aliepata div one,two. Nimeona div three moja tu. Haya ni majonzi makubwa kwa nchi yetu hasa wakati huu kwenye dunia iliyoelimika, dunia yenye wajanja. Sijui kizazi chetu kitajikwamua kivipi. CCM tumewapa nchi lakini haya yanayotokea hatuwaelewi[/QUOTEwabunge wao waige mfano wa nimrod mkono cooperate social responsibility wajenge shule bora kwenye majimbo yao. sio kuhonga t-shirt
YAANI HOME kyela NDIYO TUMEPOROMOKA NAMNA HII ?
Wadau mimi niliwahi kusomea Bariadi, sasa Simiyu, wakati ule tulikuwa tunafaulu kwa wingi. Nimefanya utafiti katika matokeo ya sasa kidato cha 4, Wilaya nzima kwa upande wa shule za serikali matokeo ya form four sijaona hata kijana mmoja aliepata div one,two. Nimeona div three moja tu. Haya ni majonzi makubwa kwa nchi yetu hasa wakati huu kwenye dunia iliyoelimika, dunia yenye wajanja. Sijui kizazi chetu kitajikwamua kivipi. CCM tumewapa nchi lakini haya yanayotokea hatuwaelewi
Mtoa mada acha uchuro Dutwa Biashara, kidinda na Bariadi day zote zinayo Div 2 unasemea Bariadi ipi? Labda Gamboshi
wakazi wengi ni wa imani gani?Wadau mimi niliwahi kusomea Bariadi, sasa Simiyu, wakati ule tulikuwa tunafaulu kwa wingi. Nimefanya utafiti katika matokeo ya sasa kidato cha 4, Wilaya nzima kwa upande wa shule za serikali matokeo ya form four sijaona hata kijana mmoja aliepata div one,two. Nimeona div three moja tu. Haya ni majonzi makubwa kwa nchi yetu hasa wakati huu kwenye dunia iliyoelimika, dunia yenye wajanja. Sijui kizazi chetu kitajikwamua kivipi. CCM tumewapa nchi lakini haya yanayotokea hatuwaelewi
Nadhani Mleta Mada Hujitambui Kwa Kutuletea Uongo. Bariadi Division One Na Two Zipo Kibao Tu. Nakupa Mfano Wa Shule Ambayo Tunasema Haikufanya Vizuri.Wadau mimi niliwahi kusomea Bariadi, sasa Simiyu, wakati ule tulikuwa tunafaulu kwa wingi. Nimefanya utafiti katika matokeo ya sasa kidato cha 4, Wilaya nzima kwa upande wa shule za serikali matokeo ya form four sijaona hata kijana mmoja aliepata div one,two. Nimeona div three moja tu. Haya ni majonzi makubwa kwa nchi yetu hasa wakati huu kwenye dunia iliyoelimika, dunia yenye wajanja. Sijui kizazi chetu kitajikwamua kivipi. CCM tumewapa nchi lakini haya yanayotokea hatuwaelewi
mtoa mada acha uchuro dutwa biashara, kidinda na bariadi day zote zinayo div 2 unasemea bariadi ipi? Labda gamboshi
Mtoa mada acha uchuro
Dutwa Biashara, kidinda na Bariadi day zote zinayo Div 2 unasemea
Bariadi ipi? Labda Gamboshi
Mtoa taarifa nahisi halikuwa kusudio lako kudanganya umma.Sasa hivi vitu vipo kiganjani,ingia website ya NECTA uone.No statistics no right to analyse.