Si kwamba ndo nagundua leo by the way nlikuwa nawajuza ambao waoikua hawajui ishu km hii, afu si kwamba ukizaliwa mjini au ukiwahi kuja mjini kila trick ya kihuni unakuwa unaijua
Wewe unafikiri kila kinachoandikwa juu ya viongozi wa Africa( wanaopingana na wazungu) ni kweli bila kujua wakat mwingine ni trick za wazungu kuharibu utawala wa waafrika, ndo mana unaambiwa akili za kuambiwa changanya na za kwako: au ulitaka kuona mapandikizi wa kizungu watutawale ili kusave...
Napenda kutoa angalizo kwa watu waishio Dar na ambao huwa wanaagiza wanafakazi wa ndani ( house girls na house boys) limezuka kundi la watu ambao wanakaa katika vituo vya mabasi yatokayo mikoani ( km kituo cha ubungo) ambao kazi yao ni kuwaiba hao house girls au boys ambao wengi wetu huwa...
Ni kweli tunawahitaji watu km Gov Ndullu watu ambao wako committed kusave interest za nchi, me mwenyewe nimepata habari/ushuhuda kutoka kwa mfanyakazi BoT kuwa saiz mambo yamebadilika kweli hata kwenye issue km za kuajiri, kikubwa ni kumwombea sana kwa Mungu abaki na msimamo wake.
Sawa tuenjoy kwa muda wa miezi hii mitatu( izo komedi) ila katiba itatuenjoy kwa miaka kadhaa, au hujasikia huko kenya mambo yaliyoletwa na katiba mpya?hadi kuku walipiwa kodi. Let us wait the time will tell.
Nilichowahi kuambiwa kuhusu hao jamaa(Bayport) ni kwamba huwa wana tabia ya kuendelea kukata pesa yako(especially km wanakata kwenye mshahara) hata km umemaliza kulipa deni na hata ukifanya follow up wanajifanya wanafuatilia issues kumbe wanasogeza miezi tu( inaweza kufika hadi sita) na hiyo...
No brethren your not right: dhambi ni dhambi tu hata km hujui kwa kutenda ivo ni dhambi ndo maana kwenye bible imeandikwa " ktk enzi za ujinga wenu Mungu alijifanya km dhambi hazioni ila sasa anawagiza watu wote watubu" anaposema enzi za ukinga anamaanisha wakati ule ambapo kuna mambo mabaya...
Hiyo story aliyoleta jamaa ina criticisms nyingi sana, lakini yawezekana lisamwalo lipo, uchunguzi mdogo ukifanyika kuhusu hayo maduka tajwa na ikabainika kuwa kweli hayajawa registered tra basi hatua mahususi ikiwemo habari kuchapishwa kwenye vyombo habari itakuwa ni hatua muhim na EFD...
Mkuu huyo jamaa ana hasira na wafanyabiashara tu kwa sababu yeye analipa kodi( haijalishi hata km kwake ni kubwa kuliko alivyopaswa kulipa) anataka na wafanyabiashara nao walipe kodi hata km itakuwa kubwa kiac gani pasi kujua kwamba threats wa kodi ktk nchi yetu ni serikali( matumizi mabaya na...
Manyerere si kila mtu anayecomment humu unatakuwa kumjibu, uwe unaangalia na logic behind the comment wengine wanacomment tu kwa sababu wanajua kusoma na kuandika:
Ila jitahidini kuweka habari kwenye web yenu ili ishu km hizi za kununuliwa kwa nakala zote zisitokee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.