Anything todo with americans is odd n devilish
Not everything..kuna watakatifu na vitakatifu huko pia
Anything todo with americans is odd n devilish
Tusome kinyumenyume sasa..., Mungu=Ngumu, je hii nayo ni kufuru?
Yule sheikh kawadanganya sana waislam.
Na ndio maana nasema waislam ni rahisi mno kudanganyika!
Kwanini ulisome hilo neno toka mwishoni na sio kama lilivyoandikwa?
If that the case,hata God kwa maana ya Mungu ni kufuru kwani ukilisoma kinyume nyume ni dog yenye maana ya mbwa.!
Yule sheikh hajui hata maana ya fasihi then anakuja kudanganya watu kwa hoja dhaifu namna hii!
Hoja ni dhaifu mno mlizodanganyiwa!
Wakuu kuweni makini na nyimbo mnazoshabikia na kuzipenda bila kuskiliza kiundani verse zake hasa hizi za nnje mfano wimbo wa snoopy doggy doggy wa drop like is hot, kuna mahali anaimba, nanukuu WHEN YOU COME TO MY HOME YOU WILL SEE AM A BOSS BUT (DOGSINATAS) sasa hilo neno nililoweka bracket lisome kuanzia mwisho kwa maana kulia ukirudi kushoto, litasomeka (SATAN IS GOD) kuweni makini!
Yule mazinge wa Kenya keshakuharibuni tayari,kama ndo acha kutumia products za Lg,adidas,Nike,IBM,Dell, etc je unawajua wamiliki wake?
,,,kwanza katika dini ignorance of law is a good defence,,
Yule mazinge wa Kenya keshakuharibuni tayari,kama ndo acha kutumia products za Lg,adidas,Nike,IBM,Dell, etc je unawajua wamiliki wake?
Wakuu kuweni makini na nyimbo mnazoshabikia na kuzipenda bila kuskiliza kiundani verse zake hasa hizi za nnje mfano wimbo wa snoopy doggy doggy wa drop like is hot, kuna mahali anaimba, nanukuu WHEN YOU COME TO MY HOME YOU WILL SEE AM A BOSS BUT (DOGSINATAS) sasa hilo neno nililoweka bracket lisome kuanzia mwisho kwa maana kulia ukirudi kushoto, litasomeka (SATAN IS GOD) kuweni makini!
Tatizo wanachukua tafsiri juu, uislamu unasisitiza Elimu/kusoma muhimu , tena mnalazimishwa someniiiii, Hebu angalia hapaWakuu Waislam Wenzangu Si Kila Mmvaa Kanzu Ni Sheikh,na Si Kila Shehe Analotamka Ni Sahihi.Tafakari kwa Utulivu Chukua Hatua!
Wakuu Waislam Wenzangu Si Kila Mmvaa Kanzu Ni Sheikh,na Si Kila Shehe Analotamka Ni Sahihi.Tafakari kwa Utulivu Chukua Hatua!
Hizi ni story za vijiweni tu,,kujaribu kulazimisha maana za vitu kwa hoja za vijiweni,,,kwanza katika dini ignorance of law is a good defence,,huwezi kutenda dhambi kama unalolifanya hulijui kama ni dhambi.