kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,898
- 7,365
usifanye mchezo na nguvu za Mungu hata kama walioko hawamuamini anaweza kutenda hadi wenyewe wakashangaa wamekupaje kazi lkn ndo wanakuwa washakupa tena
Nimependa sana comment yako, nguvu za Mungu si za kawaida.
Sent from my iPhone using JamiiForums app.