Recent content by Been There

  1. B

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Mbazi linalofanya Safari zake kati ya Dar - Arusha lapata ajali

    Watanzania tuamke na hizi ajali!! Yapata kama week 3 hivi nilikuwa natokea Arusha kuja Dar na bus la Kilimanjaro Express. tulienda vizuri kabisa mpaka maeneo ya Chalinze ndipo dereva akazidisha speed zaidi ili alipite bus lingine la kampuni hiyo hiyo, kwa kuwa nilikuwa nimekaa seat za mwisho...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka hawa walimu wa Muhimbili PS na Makongo Sekondari

    Afande Miraji alishafariki Dunia. Nilisoma pale pia na viboko vyake nilivipata kisawasawa pamoja na Afande Babu Chacha!!
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BREAKING: Civil Society group files case in High Court seeking to stop tallying

    Sisi hatuna demokrasia, tuna ujinga uliotukuka kwenye demokrasia!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    Wewe ni kubwa jinga, ulichoweza kuji sympathy nacho ni kusema umeshindwa kwa sababu huna uzoefu wa hapa, kisa umeishi 30 years abroad!! Very stupid sentence na njia ya kijinga ya kujitetea. Ulivyo waste 30 years kubeba mabox abroad hukujua bongo siasa tena chafu zinaendelea. Acha unafiki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

    Wanasema ukishamjua mjinga tabia na mwenendo wake,kamwe hatakusumbua, ni kumpotezea tuu!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania natafuta kuku wa kienyeji wa kununua

    Wana JF, Habari za mchana? Natafuta kuku wa kienyeji wa kununua(kuanzia 2 weeks old na kuendelea,wasiwe wa mayai),nahitaji kuanzia 200 na kuendelea yeyote anayejua ama anauza, anijulishe tafadhali. Namba 0715136139.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Famous quotes by Famous Tanzanians

    Hahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahaha that was funny!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM yafika pabaya: Dk. Kigwangala, Bashe watishiana bastola Nzega!

    Waache wauane wenyewe kwa wenyewe,ni kupoteza muda ku-discuss ushenzi wao, na chama chao ndo kiwaamulie ki-upuuzi upuuzi kama kawaida yao!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

    Lile eneo pale yuko in partnership na Ridhwani Kikwete,ndo wana-run Trans African Logistics Ltd(TALL)
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafukuza kazi W/viti wa Vitongoji, waliochaguliwa na wananchi

    Unene wa Gama umechukua sehemu yote ya akili yake!! Hapo kuna tatizo zaidi ya hili. It looks like just because opposition ndo inaongoza jimbo hili(Chadema-Freeman Mbowe mbunge wao) inafanywa kisiasa zaidi. Ila wajue watanzania wa sasa wana macho na wanachuja kila wanachokiona;mwisho wa siku yote...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

    Pale Gerezani au mtaa wa Lindi kwenye maduka ya used vipo vioo kibao vya ndege(vya used), kama ni kikubwa unakata na machine unakipunguza,tukikosa pale huku karibu na machinga complex vipo!!!! Tunaandika kwenye makaratasi tumeagiza toka Europe, Euro 50,000/=
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa taarifa ajali ya meli.

    Kwenye Maadui watatu Mwl. Nyerere aliokuwa anawapiga vita yaani 1.Ujinga 2.Maradhi 3.Umasikini Tuongeze adui mwingine hatari sana: 4. viongozi(Washkaji zake,mademu zake,mashemeji zake,wakwe zake,binamu zake) wa serikali ya Jakaya
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

    Waislamu wana mambo ya ajabu sana. Wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, Makam wa Rais ni muislam, mkuu wa Kaya muislam, sasa iweje mseme uteuzi wa kadhi umekaa kiserikali wakati wakuu wengi wa juu are in favour of muslims!! Waislamu amkeni muda mnaopoteza kwenye majungu,mabishano, na upuuzi wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe PREZZO mama yake ni MTANZANIA...

    Kwa hiyo? whats so special about him kuwa na mama mtanzania??? Post vitu vya maana humu jamvini,kama una undugu naye ni huko huko nje sisi haituhusu.....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

    Nape ni choo cha kike!!
Back
Top Bottom