Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.
Ange nyea kabisa,ili nafsi yake ifurahi.sisi tume instoll kwenye moyo na akili
 
kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.

kwani Qur'an haipo huko kwenye hivo vikorombwezo?hata kashangingi kangu(nokia mdebwedo)inayo Qur'an
 
Wakristo kamwe msilipize kisasi, Kitabu kitakatifu kinapohujumiwa mwenye kutoa adhabu ni Mwenyezi Mungu mwenyewe. Bali kitabu cha majini kinapohujumiwa waumini wake hutoa hukumu.

Salini sala hii "Baba yetu uliyembinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike, utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama tunavyo wasamehe wale waliotukosea, usitutie katika kishawishi lakini utuopoe maovuni, Amina"
 
Let us hear the conclusion of the whole matter: Fear God, and keep his commandments: for this [is] the whole [duty] of man." --Ecclesiastes(muhubiri) 12:13
 
Usihukumiwe uislamu kwasababu ya tendo la mtu mmoja mwenye mtazamo wake tofauti,tena mtu tu asiye na madaraka yeyote ndani ya umma wa waislamu! Hakuna sehemu hata moja uislamu ulipohimiza chuki na vitendo vya kichokozi bali watu kama watu wanafanya watakavyo kwa visingizio vya uislamu kutokana na maono yao hafifu.

Mimi ni muislam lakini binafsi siuchukii ukristo simply kutokana na baadhi ya wapuuzi wachache wanaojiita wakristo jinsi wanavyoitukana imani yangu na kejeli za kuchukiza (Ikiwemo ndani ya JF) maana najua hayo ni maono yao na wala si ukristo,hakuna sehemu kwenye bible inayowataka wafanye hivyo . Contrary na mtazamo wao uraiani 90% ya marafiki zangu ni wa kristo na tunaishi kwa raha kupita kiasi na tunashirikiana katika kila jambo.

Huyo mtu aliyefanya huo upuuzi ahukumiwe yeye kama yeye jambo kuwa anajiita muislam lakini uislamu ni zaidi ya jina la mtu tu, huyo mtu wala asipewe publicity yeyote adharauriwe tu ana stress zake za maisha.

Kamanda, kuna watu tunawaweka sawa waislamu wajinga kama huyo wa Tanga kwa hoja nzito badala ya kuandamana kijinga na kwenda kuchoma misikiti!!!
Lkn naona mwenzetu tunapotoa hoja hizo nzito unatafsiri kuwa ni kashfa!! Ni majibu ya sahihi kwa mleta upuuzi yeyote!!
 
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that

Hawa adhabu yao, washaipata na wanaendelea kuipata! Wataendelea kujiona wanyonge duniani hadi kiama!! huku wakijilipua mfululizo!!
 
Usihukumiwe uislamu kwasababu ya tendo la mtu mmoja mwenye mtazamo wake tofauti,tena mtu tu asiye na madaraka yeyote ndani ya umma wa waislamu! Hakuna sehemu hata moja uislamu ulipohimiza chuki na vitendo vya kichokozi bali watu kama watu wanafanya watakavyo kwa visingizio vya uislamu kutokana na maono yao hafifu.

Mimi ni muislam lakini binafsi siuchukii ukristo simply kutokana na baadhi ya wapuuzi wachache wanaojiita wakristo jinsi wanavyoitukana imani yangu na kejeli za kuchukiza (Ikiwemo ndani ya JF) maana najua hayo ni maono yao na wala si ukristo,hakuna sehemu kwenye bible inayowataka wafanye hivyo . Contrary na mtazamo wao uraiani 90% ya marafiki zangu ni wa kristo na tunaishi kwa raha kupita kiasi na tunashirikiana katika kila jambo.

Huyo mtu aliyefanya huo upuuzi ahukumiwe yeye kama yeye jambo kuwa anajiita muislam lakini uislamu ni zaidi ya jina la mtu tu, huyo mtu wala asipewe publicity yeyote adharauriwe tu ana stress zake za maisha.

me mwenyewe mkristu na ninamarafiki wengi waislam na 2naishi vizur kwa maelewano kama ndugu moja. Nimependa mtizamo wako ndugu yangu hebu endelea kusambaza huu mtizamo ulionao. Mwenyez Mungu akujaze hekima zaidi
 
“God has not given us a spirit of fear and timidity, but of power, love, and self-discipline.” 2 Timothy 1:7.
What about Islam!
 
Ndugu zangu,
tusitumie kejeli katika masuala ya imani, tuwe wakristu au waislam tena kwa wakristo wenzangu mnaojinadi kuwa na amani, msipandwe na jazba toeni ur side of story quoting our holy book, but refrain from annoying people while at it
 
Huyo aliyekojolea bible inaonenaka hata kurani haifahamu. Hadithi za biblia zimo kwenye quraan.
 
hata angeinyea kabisa bado asingefanikiwa kuidhalilisha kwani neno litabaki kuwa neno

tumcheke na kumdharau tu... atathibitisha mahangaiko yake
 
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that

Hapo amenoa! Angetaka kumpata mkristu, basi na akojolee roho yake. Biblia ukiisoma kawaida ni kitabu cha historia tu kama vitabu vingine. Lakini ukiisoma katika ROHO, ni neno lililo hai. Pia Biblia haitumiki kulaani wala kulipiza mabaya kwa mabaya. Hivyo natangaza kuwa tunampenda sana huyo aliyeikojolea Biblia, tunamwombea maisha mema tu, ili siku moja Kristu amguse apate kuitambua kweli. Huyu ni kama kondoo aliyepotea anahitaji kurejeshwa kundini.

Matayo 5:43-46

'‘Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.' Lakini mimi ninawaambia, Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana Yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. Kama mkiwapenda wale wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Je, hata watoza ushuru hawafanyi hivyo?
 
Kwa Wakristu "neno" ni zaidi ya kitabu; tunaambiwa katika Yohana 1: kuwa "Neno akataa mwili akakaa kwetu". Neno ni zaidi ya kitabu ni nafsi hai.

Mkuu Mzee Mwanakijiji ngoja tuiweke sawa hii kwani ni kati ya vifungu vinavyonibariki saaaana tu katika bible sasa tusipoiweka vizuri nafsi yangu itakuwa haijatendewa haki.....ni katika Yoh 1:1-14 ila nitaweka tu mstari 1-3 na wa 14 mengine someni wenyewe muone utamu wa injili.....

Hapo Mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vimefanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika......... Naye neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa mwana pekee atokaye kwa Baba amejaa neema na kweli.

My take....
Kuna kitu kinatafutwa hapo ili wote tufanane tuonekane tuko sawa...Wakristu wa Tanga jipeni moyo someni na mfuate maandiko matakatifu msiwe na jazba wala msimlipize mtu ovu kwa ovu kwani hayo sio maagizo wala mafundisho yetu. Kumbukeni hadithi ya kichaa aliyekwenda mtoni akachukua nguo za mtu mmoja aliyekuwa akioga...sasa ukikurupuka kumkimbiza kichaa ambaye kavaa matambara na wewe uko uchi wa mnyama aliyeko pembeni ataelewa kichaa kati yenu ni nani? Hakuna adhabu kubwa kama kupuuza mtu nadhani hawa tuwapuuze tuendelee na shughuli zetu as if hakuna kilichotokea.

Mungu wetu hahitaji kupiganiwa kwa kumwaga damu za mayatima na wajane ili awe Mungu.....

kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3g, ipad 2, ipad2+3g , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.

bwana yesu asifiwe mkuu!!
 
Biblia ni Maneno Matakatifu ya Mungu aliye hai. Wakristo wameagizwa kwamba Maneno ya Mungu yakae kwa wingi ndani yao. Wamestaarabika na wanamjua Mungu na shetani pia.Kukojolea Biblia hakuwafanyi wageuke wamwanche kumtii Mungu waanze kuwa mawakala watumishi waaminitu wa shetani. Mungu Wetu Yuko hai Milele.
 
"Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana" (Warumi 12:19)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom