Recent content by Bedullah

  1. Bedullah

    Magufuli unaitakia nini Tanzania?

    Ushahidi wa nini? Yupo asiyefahamu hilo? Mbona tu Wanafiki kiasi hiki? Unakanyagwa na kiatu chenye msumari wa ncha kali, unaumia, damu inatiririka. Unaulizwa kama unaumia unajibu hapana, nasikia raha! Kweli?
  2. Bedullah

    Jeshi la Polisi anzeni na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

    Na mnapowateka, kuwatesa, kuwajeruhi na kuwatia vilema na kuwaua Wanaokosoa namna mnavyoiendesha nchi ni kwa ajili ya CCM au Taifa? Mmejipa haki ya kuwaumiza, kuwatia ulemavu, kuwafunga bila makosa, kuiba matrillioni yao, kukopeshana pensheni zao na mnataka muwanyang'anye haki ya kusema...
  3. Bedullah

    Jeshi la Polisi anzeni na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

    Posti ya kijinga, kipumbavu ya mtu anayetumia kwato kufikiri! Shughuli yao ni kufuatilia uzingatiaji wa tangazo la Haki za Binadamu, ripoti hiyo haikutayarishwa leo, na waliyoyaandika yote yametokea na yanaendelea kutendeka, uko wapi uchochezi? Watu hawatekwi? Hawashambuliwi kwa sababu za...
  4. Bedullah

    Tusibeze, maandamano yapo ila kufanikiwa au kutofanikiwa kwake inategemea Polisi imejipangaje

    Uzuri ni kwamba Taifa litakuwa kwenye kurunzi za kimataifa zitakazofuatilia uvunjaji wa Haki za Binadamu ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi za moto wanazopewa Polisi kuuwa raia wasio na hatia.
  5. Bedullah

    CAG: Upotevu wa trilioni 1.5 Watanzania mjue sio jukumu langu kuchukua hatua, mie natekeleza majukumu yangu tu

    Rudisheni kwanza mabilioni mliyokwapua NSSF na kusababisha watu wakwame kulipwa akiba waliyojiwekea!
  6. Bedullah

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Sanasana naliona moja zuri, la ujenzi wa reli! Miradi mingine yote aliikuta inaendelea, ilibuniwa na Kikwete, Yeye anaimalizia tu. Miradi kama ya flyovers, barabara na mingine ameikuta, anaimalizia! Kikwete aliianzisha bila ya ghiliba za kuwafukuza maelfu ya watu kazi bila ya malipo kwa...
  7. Bedullah

    Kipi ni bora na busara zaidi kati ya kuasili mtoto na kulea mtoto wa ndugu?

    Well said! Adopted children are likely to remain faithful, thankful and loyal to you permanently than other person's children. I've learned this lesson after rearing both, several being my closer relative's children and only two as adopted. It turned that all went back to their parents and are...
  8. Bedullah

    Rais azima political revolution 2020

    Takataka!
  9. Bedullah

    Edward Snowden: Jasusi wa kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Ukweli utabaki ulivyo, Osama alikwisha uawa na ameshatafunwa na samaki waliomfanya kitoweo!
  10. Bedullah

    Mbowe hakupaswa kusema vile, kisiasa aliteleza

    Huo ndiyo ukweli. Mwenyekiti wetu aliteleza! Hili liko wazi na hata mwenyewe anafahamu, naamini kama mwungwana akiulizwa atakiri. Kutetea kwamba hakukosea kutatuweka kwenye mstari mmoja na CCM ambao hata Mwenyekiti wao akipiga chafya wanamshangilia kwa makofi na vifijo!
  11. Bedullah

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _________________________
  12. Bedullah

    Wito kwa Nape Nnauye umeruka viunzi vingi tulia utafakari!

    Tulieni sindano iingie vizuri kwenye makalio mpate akili, mbona mnapaparika mithili ya kuku anayetafuta pa kutagia? ' He who laughs last laughs the best!' Mlichekelea mlipotembeza rushwa kuwanunua madiwani, leo mmeumbuka Mbunge mzima kawatoroka bila kupewa hata ndururu! Kwa taarifa yenu bado...
  13. Bedullah

    Wizara ya habari yafafanua jinsi ya Kurusha Maudhui ya Nje ya Nchi (Miziki&Habari) kuanzia saa 11 alfajiri - saa 3 usiku

    Wazimu mtupu! Hivi ni nani aliyeturoga? Sintashangaa wabunge wa CCM wakaupitisha muswada huu kwa vigelegele, muswada wenye lengo la kuwapunguzia Watanzania Uhuru wa kusema na kusikia wapendacho kama ilivyofafanuliwa kwenye Katiba.
Back
Top Bottom