Rais azima political revolution 2020

Rais azima political revolution 2020

mwambie mboye asimpokee nyarandu kama hataki propaganda

Pia nikusaidie jitahidi ukipewa nafasi huko ccm usipewe sehemu itakayohitaji kuandika maana una tatizo kwenye upande huo. Pitia post yako kuu. Halafu sio Mboye ni Mbowe. Kisha sio Nyarandu bali ni Nyalandu. Kwa uandishi huu ni bora uliondoka cdm, baki huko huko ccm ambako sifa kubwa ni kujipendekeza na nidhamu ya woga.
 
Back
Top Bottom