Recent content by Beberu-mpya

  1. Beberu-mpya

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Insta watumia jina gani?
  2. Beberu-mpya

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Napenda kupewa ushauri kwa ari hii, kwani mimi nafanya Sex kwa week yaweza kuwa mara mbili au tatu ila cha ajabu na ambacho siwezi vumilia kuacha ni kupiga PUNYETO sasa nifanye nini ili niweze kuacha? Note; ila bado sijaoa.
  3. Beberu-mpya

    Ogopa matapeli kina dada

    Amekuomba urafiki facebook. Umeangalia picha zake Anaendesha Range Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo Umemkubalia urafiki Amekutumia text inbox Umemjibu Amekuomba out Mkapanga kuonana Ukajikwatua mwenyewe Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema Ukaweka na make-up na weave mpya. Akakuchukua kwa...
  4. Beberu-mpya

    Manara Out 12months.... Muro In TFF

    Shirikisho la Soka nchini Tanzania limemkuta na Hatia Msemaji wa Clab ya Simba Haji Manara kwa kosa la kutoa Lugha Chafu kwa Mh. Rais pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Shirikisho hilo ambapo alitoa lugha hiyo week hii J3 na Leo amehukumiwa jela ya kutojihusisha na Mpira ndani na Nje ya Tz kwa...
  5. Beberu-mpya

    Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

    Acha ngebe wewe mpira uwanjani na sio mezani hakuna atakayekusaport kwa hili haya hao Simba damu hawapendi hichi kitu ambacho 72hrs imekifanya cha kuwapa point thimba wakati walikalia DUDE.....Hakuna kadi 3 za njano wala nini.
  6. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Dah ww kijana dr nini?
  7. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Aisee kaka yule mrembo c nilikutana nae kwa onetime coz nilisafiri kwenda mbeya kiutaftaji so nikatake guest so nikamuomba mdada ambae alikuwa anasimamia guest anitaftie mdada wa kuniblanket ndipo aliponiletea huyu mdada mrembo aloniambukiza hili Gono pia hata number ya simu hatukubadilishana
  8. Beberu-mpya

    Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

    Tanzania ya viwanda ndo hii kweli?
  9. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Dah kaka mungu anakuona me najipigisha nyeto?
  10. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Nimekwenda na nimeshaanza dozi ya sindano
  11. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Nilishakwenda kaka na nimepima nakuambiwa ni kweli Gono so nimeshaanza dozi ya Steptomycine inj 2g od kwa siku 3
  12. Beberu-mpya

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Huu sio utani kwani kila mtu ana utashi wake katika kujieleza ila kama wewe umeona nimekukwanza am sorry bro
Back
Top Bottom