Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Sio hayo tu angalia na miwaya kaka maana wewe hutumii condom shuwain!
 
Paka asali mbichi Mzee hasbuhi na jioni , Unapaka dushee lote kuanzia kwenye sina mpaka kichwani, siku tatu tu Upo Sawa.
Unampotosha mwenzio. Hilo gono lipo ktk damu tayari. Atapata matatizo makubwa asipokunywa antibiotics zinazotakiwa.
 
Back
Top Bottom