Pierre, mim naona umeenda wami nyingine si ya morogoro mjini, hapa kiukweli tunaudumiwa vema sana, teller wapo vibandani all the way..na mimi binafsi nimpongeze customer managed mama yule yupo vizuri na shap sana kuhudumia mteja na mtu aliye kwama. Keep it up wami morogoro
kupanga folen ndefu...
Safari ni hatua lazima kuwe na moja ndo mbili ifuatie...so kwa wasanii wa nyumbani nao ndo wanaelekea huko, mfano AY...alishafanya na mjamaica so hatuko pabaya....
Katika mawaziri mizigo kikwete aliokuwa nao ni huyu mama! Weredi wa mama huyu ni mdogo sana sana sijui shuleni ilikuwaje..! Yaani huwa hana hoja ya kitaaluma hata siku moja pale anapojibu hoja...
Hawa basata wanapanga hizi category kishabiki, kwenye category kama hii hata huyo kiba hakustaili kuwepo, watunzi wa nyimbo wapo wengi sana wengine c hata wanamuziki, wao utunzi ndo kipawa chao.
Sina tatizo na mpendu bt watu kuwaalika kama simalenga, wigo wao c mpna wa uelewa kuweza kudadavua vitu..kipindi safi bt waalikwa ni muhimu wawe wenye huelewa wakutosha wa mambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.