Kiriku
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 345
- 134
Mh hivi kuna mwenye akili timamu ambaye mawazo yake yaliamini watu kama Six,),Hasira na watu kama hao wangewaza kufikiriwa katika uongozi,nawashangaa sana washauri wao.
Mkuu Six alijijenga sana bunge la 9 alipokuwa spika ila alikuja kuharibu bunge la katiba kwa kukikumbatia chama chake akitafuta huruma ya kupitishwa kugombea uraisi, mtu wa namna hii ni wa kumuogopa kama ukoma maana ni mnafiki.