pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Habari kwenu wanajamvi
Kama kuna kitu kinakera zaid katika huduma za kibenki ni swala la kupanga folen ndefu za kutoa ama kuweka pesa, Ukwel ni kwamba folen hizi haziepukiki kutokana na idadi ya wateja kuongezeka siku hadi siku . . .
Ila hii ya NMB wami Branch Morogoro mjini imekuwa zaidi ya kawaida, yani mtu unakaa foleni lisaa muda wote lazima teller mmoja au wawili wanakuwa hawapo kwenye sehemu zao na mara nyingine hata zaidi . . .
Najiuliza hawa jamaa muda wote wanakuwa wanakula au wanafanya mambo yao tu,kama wanafanya mambo yao ni utaratibu wa kazi ama laah..??
Wahusika kama mpo humu liangalieni hili . . .