Recent content by beautifullylikehermom

  1. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    Sisi tutajuaje kama n kweli alimtwanga sheitwan? Na huo mkanda ni Nani alimtunukia??
  2. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Huyu ni nani anayejiamini kuongea chochote nchi hii?

    Huyu ni Yule jamaa huwa anachambua mapenz channel ten akiwa anarusha rusha mpira?
  3. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

    Mmh! mambo mengine kwenye hii dunia yanatia kinyaa.
  4. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

    Well said
  5. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

    Kwani ninyi wanaume huwa mnaridhika? Au mkuki ni mtamu kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu?
  6. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mpango wa kumtua Mama kuni kichwani

    Bila shaka wewe ni CCM
  7. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga ambacho kinaaminiwa na kundi kubwa la watu

    Kwamba Mwenyezi Mungu alisema mwanaume aoe wanawake wanne
  8. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

    [emoji3][emoji3][emoji3] Tatizo watu wanaochukuliwa kwenda kutangaza wanakuwa hata hiyo taaluma ya utangazaji hawana , wanaokotwa okotwa tu ndiyo maana tunasikiliza vioja tu.
  9. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Aisee Mimi ni mshamba mwenzako Mimi haya Mambo yalinishinda kabisa.
  10. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Nawachukia watu wenye tabia number 1&2[emoji3525] Number 3[emoji28][emoji28][emoji28]
  11. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

    [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] yamekuwa haya tena Sent using Jamii Forums mobile app
  12. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo

    Kwenye kuoa au kuolewa kila mtu ana kipaumbele chake na sifa zake anazozitaka yeye. Hii ni ya kwako, kwa wengine siyo sababu ya kumuweka mtu ndani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Kama ulishachezea wadogo za wenzio hayo ndiyo malipo yake mkuu. Malipo ni hapa hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu huwa hawana kivuli?

    Huyu YIB 2 huwa naona matukio anayoreport mengi yanakuwa yamenaswa na CCTV camera mkuu, machache yanakuwa yamepigwa picha na watu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. beautifullylikehermom

    JamiiForums Tanzania Mabinti bikra zenu huwa zinatolewa na viumbe gani?

    Wewe ni bikra? Mtu hupewa kile anachostahili. Sasa usitegemee kukutana na bikira wakati wewe mwenyewe ni funua funua. Kwa kifupi endelea kusuburi embe chini ya mnazi! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom