Habari ya wikiend, naimani sote tu wazima wa afya. Maji ni janga la kitaifa.
Hakuna asiejua umuhimu wa maji ktk maisha. Maji ni uhai na pasipo maji hakuna uhai wa watu na mimea pia. Sasa serikali imetenga sh 914 bilion kwaajili ya wizara ya maji na ktk pesa hizo kuna 624 bilion za maendeleo ya...
Mkuu mada hii imenigusa sana maana nilikua nikinunua vitu toka marekan kupitia ebay na amazon lakini pia alibaba na alixpress wakati hua nikiwaza bidhaa za kuwauzia, sikujua kua hatujajiunga na paypal system. Hii ni hatari kwa ukuaji wetu kibiashada na km Serikali yetu ni sikivu naomba ifanyie...
Habari zenu wana jamvi.
Swala la madaktari kupigwa na mdugu wa wagonjwa limekua likizidi kuota mizizi na imekua tatizo la kupelekea baadhi ya madaktari hususa ni wanawake kufanya kazi kwa hofu na kupeleka wengine kutotimiza wajibu wao kitaaluma.
Ningependa tukoa lai kwa ndugu wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.