bazila
Member
- Apr 3, 2016
- 14
- 1
Habari ya wikiend, naimani sote tu wazima wa afya. Maji ni janga la kitaifa.
Hakuna asiejua umuhimu wa maji ktk maisha. Maji ni uhai na pasipo maji hakuna uhai wa watu na mimea pia. Sasa serikali imetenga sh 914 bilion kwaajili ya wizara ya maji na ktk pesa hizo kuna 624 bilion za maendeleo ya wizara hizo na km 300B zikiwa ni mishahara. Ktk fedha hizo za maendeleo kuna 210B zitatokana na wahisani ambapo ni probability hizitoa zote. Wabunge wanaomba pesa ziongezwe ili kutibu tatizo la maji nchini.
My take: Takwimu zinaonyesha hakuna hata siku moja bajeti ya serikali ikafanikiwa kutumika na pesa zikatolewa zote kwa 100%. Sidhani km ongezeko la fedha linaweza tibu tatizo la maji nchini ikiwa pesa ambazo zitaelekezwa si zaidi ya 60%. Nachoona ni serikali ione namna gani inaachia wizara hii kwa kutunga sera ambazo zitakua ni rafiki kwa wawekezaji kuwekeza.
Naimani serikali ikiweka sera na sheria ya uwekezaji ktk wizara zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja inaweza kua tiba na kukomesha tatizo hili. Najua watu wanapesa nyingi na wapo wawekezaji wazalendo ila wanabanwa. Waruhusu waone watu watakavyoshusha mitambo na kuchimba visima na kuondosha wananchi kwenye matatizo ya maji.
Je ww wanaona nini kifanyike kutokomeza tatizo hili??