bazila
Member
- Apr 3, 2016
- 14
- 1
Habari zenu wana jamvi.
Swala la madaktari kupigwa na mdugu wa wagonjwa limekua likizidi kuota mizizi na imekua tatizo la kupelekea baadhi ya madaktari hususa ni wanawake kufanya kazi kwa hofu na kupeleka wengine kutotimiza wajibu wao kitaaluma.
Ningependa tukoa lai kwa ndugu wananchi na Tanzania kwa ujumla kua swala la kuwavamia madaktari na kuwapiga sio suluhisho badala yake km kuna tatizo lolote la kiutendaji waende sehem husika na kutoa tarifa za daktari au muuguzi husika kwa kitendo hicho.
Pia lai yangu ya pili ni kwa vyombo vya Serikali kuendelea kukemea swala hii maana ni zito na linahitaji kupatiwa ufumbuzi.