Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

Chumba vipi hupangushi, kodi bado ipo? Nataka hiyo dstv na meza TV , mwisho lini?
 
Nahamia mkaoni ndugu zangu,nimepata ulaji mkoani ndugu
Mkuu unahamia mkoa gani!? Maana siku hizi kuna fuso nyingi tu zinaenda mikoan empty kubeba mizigo, ungetafuta zikusafirishie kuliko kuuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom