Ebwanae, si ushabiki usio na tija wala nini ila ni ukweli usiopingika kwamba siasa za kiuanaharakati ndizo zilizosababisha hata ambao hatukuijua CHADEMA tukapenda siasa. Zama hizo Zitto Kabwe, Dr SLaa n.k. wapo CHADEMA. Kuondoka kwa hao watu lilikua pengo kubwa sana kwa upinzani hasa CHADEMA, Mbowe hujui tu.
Kwakuwa kwa waona mbali tulijua hata kama imekua hivyo hakukuwa na tija kuisupport CCM, bado tuliamua kuiunga mkono japo umungu mtu wa Mbowe kwenye chama binafsi unanikera sana. Hasa kuona mtu kama Dr. Slaa aondoke tu kisa Lowassa ambae siasa za kiuanaharakati hana.(dead and unfunctioning diplomacy).
Si shida Mungu si Athumani anajitolea Lema kuiweka kwenye chati heshima ya CHADEMA lakini bado sioni chama kikimpa heshima na mshikamano ambao unastahili. Amini amini nawaambia watu jasiri kama kina Lema ndio tunaowatambua sisi vijana wa sasa na si wanasiasa walaghai kama kina Mbowe. Msipojirekebisha tutawatafutia mbinu maana hatuwaelewi nyie kina Mbowe na diplomasia mfu.
CHADEMA is a leftist party so it should own its place. Long live Lema. Nakufananisha na Malema wa EFF(Economic Freedom Fighters party) wa South Africa. Bro Lema tuko pamoja na wewe wengi sana kuliko unavyofikiri. Wengi tunakuelewa.