Pascal Mayala
Mtu mwelewa, mtu ujulikanaye unaandika bila kuwa na ushahidi wala kufika field?
1. Unajua maji yatokayo ktk Mgodi wa BARRICK NORTH MARA sio meusi?
2. Unajua watu walio~upstream hawakuathirika na madhara ya uchafuzi wa maji ya Mto Mara?
3. Unajua maji meusi yapo ktk ardhi oevu...
Waungwana!
Mwezi ulopita nalikuwa Majita, Halmashauri ya Wilaya Musoma. Huko nalikutana na kisa ambacho kidogo kilinishangaza na kujisemea tu TEMBEA UONE na dunia haijaisha na maajabu yake.
Nikiwa Majita nilihudhuria msiba na kijana aliyefika kwao kwa ajili ya kumzika nduguye naye mauti...
Mbele kuna Moto, nyuma kuna moto
Wasimama nkuki, wakimbia nshale
Nchi kavu simba, majini kuna mamba
Aishi juu ya jiwe, agongwa na nyundo
Kuanza upya sio ujinga.
Bazazi
VIRGINITY doesnt mean DIGNITY; Is Just Lack of Opportunity Influenced By DIVINITY.
Mwaka 2020 nimemuona Mwanamke nimfahamuye (tumesoma shule ya msingi moja) aliyezaliwa mwaka 1968 na kuolewa miaka ya Tisini akiwa BIKRA akichepuka. Mbaya zaidi alikuwa na WANAUME watatu (mume na michepuko 2) wote...
Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako.
Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa asiwe na hasira, apokee simu yake kwani ana hamu ya kusikia sauti yake. Ugomvu kuntu uliibuka maana...
Hata sielewi shida ipo wapi!
Umesaidia mtu bure buresi
Baada ya muda anakulipa
Ndio! Analipia wema wako
Tena malipo ni mwili wake
We kwa UKENGE unakataa
Waumiza viumbe wa Mungu
Hebu vaa uhalisia wake bro
Halafu rudi jukwaani hapa
Bazazi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.