Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

Tatizo ni kwamba umempa Heshima kubwa sana kutokana na smartness yake bila ya kukumbuka wahenga walisema "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu"🤔 let ur action speak show that you love her na show her pia kwamba unataka show, only when necessary ndo uongee utamjengea fikra kwamba wewe si muongeaji kama ni wako atajihadhar asiskie neno tuachane na urafiki maana anajua ukiongea unamaanisha means akiskia tuachane unaacha na urudii kama si wako ataondka na akiondoka piga chini coz smart, beautiful and rich women there are thousands of them usijitese kumbuka #YOLO so u better stay stress free

#trey
 
Tatizo ni kwamba umempa Heshima kubwa sana kutokana na smartness yake bila ya kukumbuka wahenga walisema "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" let ur action speak show that you love her na show her pia kwamba unataka show, only when necessary ndo uongee utamjengea fikra kwamba wewe si muongeaji kama ni wako atajihadhar asiskie neno tuachane na urafiki maana anajua ukiongea unamaanisha means akiskia tuachane unaacha na urudii kama si wako ataondka na akiondoka piga chini coz smart, beautiful and rich women there are thousands of them usijitese kumbuka #YOLO so u better stay stress free

#trey
Thanks alot bro
 
Natumai wote mko salama.

Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.

Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.

She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.

Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.

Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.

Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.

Huyo ameshaingia tayari kilichobaki ni kukaa kitini tu

Bazazi
IMG-20210728-WA0043.jpg
 
Back
Top Bottom