''WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa.
Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian Bujugo, kwamba matokeo ya baadhi ya shule nchini ikiwamo yake yamechakachuliwa.
Akizungumza na...
Nyerere alikuwa akifikiri kuwa wazanzibar ndio watakaotengana kwa misingi ya ukabila. Ila aliisahau Tanganyika kwamba itagawika vipande vipande kwa misingi ya dini. Kadri siku zinavyokwenda ndio tunashuhudia ukweli wa hatari hii. Tusipokuwa makini, tuendako ni kubaya sana. Tuchukulie AG...
Binaadamu yeyote anaweza kubadilika wakati wowote. Lakini hizi taarifa hapa ni porojo tu, zinaendana kinyume na muonekano halisi wa mambo ambayo ZITTO amekuwa akiyasimamia. Kama angekuwa pandikizi kwa namna yoyote ile, asingeweza kuishika serikali namna ile mpaka baraza la mawaziri likavunjwa...
Na wewe unaonekana kuwa mmoja kati yao maprofessor wa kiafrica. Unaaminije kila kinachosemwa bila hata ya ushahidi?
Hoja za Zitto zimeipaisha CDM na kuiweka rehani serikali ya CCM. Kosa moja la ZITTO ambalo hadi sasa limeiathiri nchii ni lipi kwa mtazamo wako? Mtazamo wangu ni kwamba tangu...
Hoja za ZITTO zilitaka kuangusha serikal ya CCM. Leo unataka tuamini yeye hafai anafaa BEN? Ni wabaguzi na wapenda vyeo tu watakaokubali hizi kashfa dhidi ya ZITTO.
Slaa hajajibu shutuma ipi? Ninavyojua hakuna hata shutuma moja ambayo DR SLAA hajaijibu. Labda utuwekee mojawapo tu unayoijua wewe. Ukishindwa kuitaja nadhani utakuwa umeshapata jibu kuwa hawezi kuwa Rais wa Jamhuri.
Huo msemo tulishaukamilisha jana! CHADEMA inahitaji REORGANIZATION ili isife. Kinyume chake kifo chake is just a matter of time.
Uongozi wa CHADEMA umeshikwa na watu wasio na sifa ambao wanahisi sasa security ya kazi zao ziko mashakani baada ya wasomi kuingia na kutaka mabadiliko. Badala ya ku...
ZITTO anatamani kuingia JF kujibu kashfa, wenye busara wanamzuia wanamwambia chama kitasambaratika.
ZITTO anawaambia vijana wananihsaribia na wameshanichafua, wenye busara wanamwambia vumilia kwani ukubwa ni dawa.
ZITTO anawaambia taswira yangu kwa jamii nisipojibu itakuwa imechafuka...
Neno kizee hapo ni general term, likimaanisha busara za watu wazima. DR Slaa anaonesha mapungufu katika uongozi. Hili limeigharimu na litaigharimu CHADEMA.
DR anahisi yeye ni beneficiiary wa hizi vurugu which is the opposite. Motion inayokuja CHADEMA: ''Katibu mkuu (dr Slaa) ameshindwa kukiendesha chama ajiuzulu''
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.