PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

sasa unatushauri nini mwenzako yupo sehemu ya tukio na katuma picha wewe unabisha na hauko kwenye tukio watanzania mpoje?

khaaaah...we mbona leo Makinda amekataa hoja ya Mnyika na mnyika ndo alikuwa na gazeti na makinda hakuwa nalo??haihitaji macho ya rohoni kuona kuwa kwenye huu mkutano hakuna kitu
 
Safi kila la kheri C.U.F naona Lipumba yupo uwanja wa nyumbani.
 
Namshauri Profesa Lipumba agombee Ubunge Tabora 2015 au kabla ya hapo, badala ya kung'ang'ania kugombea u-Rais. Akiingia Bungeni akiongoza CUF wanaweza kuamua ni chama gani cha siasa watashirikiana nacho kukuza demokrasia na maendeleo ya dhati nchini mwetu.

Utaalam wake katika masuala ya uchumi unahitajika Bungeni kwa manufaa ya Watanzania.
 
LIPUMBA una akili, hamia CDM kukaa CUF unajidhalilisha
 
PROF Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi Tabora jana.
attachment.php


======

attachment.php



View attachment 91956
View attachment 91947 View attachment 91955

Tulinganishe na hii hapa ya uzinduzi wa Kanda wa CHADEMA! Lipumba Ameiua cuf, halafu eti huko ndo alikozaliwa!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1367249616190.jpg
    uploadfromtaptalk1367249616190.jpg
    32 KB · Views: 112
mzee lipumba sisi waislam tunapaswa kujipanga upya tusikalie kuamini eti chadema tu kila siku
 
mbona hata wakati wa ukombozi wa tanganyika vilikuepo vibaraghashia......acha roho mbaya!
 
Laiti tv zingekuwa hazina upendereo Lipumba anatisha na hapo Ndio makabwela wanachangishana kufanikisha mikutano Hongera Lipumba hapo kada Wa ccm sabodo anaewapa pesa chadema WANa Siri gani na ccm

Mzee wa sumu mbona unatushangaza tena? Sasa TBC kwanini isirushe mambo tena? Ushirikiano na ccm mkataba wa aina gani huu? Au unaishia Zenji peke yake?
 
Sometimes Lipumba anafanyaga mambo ya kijinga!
Mara afadhiriwe na CCM, mara aongee kama mtu huru kweli! ah! Ameiua CUF sasa!
 
Back
Top Bottom