Saiv wstaalam wengi na wengi wao wameingilia soko la ujenzi bila kuelewa ujenzi wenyewe mwishowe wanapewa kazi wanakimbia.so client kuweni makini na hilo.
Watu ufahamuni mpira jaman.
Huwa kila kikicha unabadilika badilika ndio maana cr7,mess,,kila siku hawawezi kukupa Yale Yale uwanjani na wao hubadilika na mambo yakiwa hayamfai anabaki katika form yake so upande wa salah nakataaa MTU akinambia ameflop kwanza namwona huyo analeta ushabiki wa mess...
Salah hajaflop mm nakataaa usiendeshwe na mshabiki za man utd ,,game change ukiangalia msimu huu ulikuwa mgumu sana kwamfano utasema aguero kaflop starling ameimprove au!?? Mpira saivi umekuwa wakasi na mgumu ndio maana hata top score wote wanachezea goal 22 ukilinganisha na msimu uliopita top...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.