Basi zuri kwa Dar - Arusha

Basi zuri kwa Dar - Arusha

Marangu Coach
Kweli wapo vizuri, kabisa kuanzia stand yao pale ubungo ni kiwango fulani japo ndogo
IMG_20190531_044721.jpeg
 
Iliisha isha hiyo ilikuwa mwa 2012 mpaka 2014 kama sikosei. wakati huo bado magari yana mbio
Mabasi ya watani zangu wapare yamekaa kibahili sana (wanalazimisha siti 63) tofauti na magari kama Tahmeed (abiria 37)
 
Back
Top Bottom