Mi nadhan ni mkao tu ndo unatatanisha
Mkao wa kukaa wakati wa kujisaidia unaweza utumia hata wakati wa kuchuchumaa.
Ni swala la kubinua au kukunja kiuno
Leo ndo nimepata somo
Nimewahi ulizia probox succeed yenye manual transmission
Aseeeeeh huwezi amini...........
Niliambiwa sh mil 22
Huyo jamaa nilimwambia acha matani kazini yaan probox unaniuzia mil 22 je harrier utaniuzia bei gan....
Jamaa hakujibu tena
Ni wazi Dar uuni umezidi watu wnataka...
Hizi ndoa jamani dah
Pole mwana..
Kwa sasa tulia usichukue maamuzi.
Binafsi sinario kama hizo huwa naamua kukaa kimya baada ya kumweleza ukweli kisha najiandaa na pia najipanga kumuacha.
Kumbuka kumuacha mwanamke unayeishi naye sio jambo jepesi
Sasa ww mke wako unamsifia hadharani/humu jf unategemea nini?
Haina tofaut na mtu anayetangaza biashara..
Mke ni wako sifa n.k ni ww na yeye kupeana huko chumban sio hadharani..
Pole sana kaka
Vumilia tu huyo ni wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.