Dah alafu sijui kwa nini wanawake kama hawa ndio tunaishia kuwaumiza kijinga jinga baadala ya kuweka ndaniBwana mm mwanaume nikimpenda kiukweli huwa sijivungi ukatae wewe labda.

Hii miaka kwa upande wa wanaume inakuwaje?Subili ni mpatie muongozo Mkuu
Binti 15-22
Dada 22-25
Mdada 26-30
Mama 30-35
Mmama 35-44
Bibi 45-55
Mbibi 55+
Mwambie wewe mwanamke labda atakuelewa, huwa nachukia sana napoona mwanaume mwenzangu anageuzwa fala.
Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia
Achana na huyo mzee utakuja kulia.Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Subili ni mpatie muongozo Mkuu
Binti 15-22
Dada 22-25
Mdada 26-30
Mama 30-35
Mmama 35-44
Bibi 45-55
Mbibi 55+
Copy that....requesting the direction...Over....the team has lost the direction

Yale hayakua mapenziWakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Ah ah Mkuu hii ni kutokana na muongozo wa UBAWATa MkuuHii kitu ni uongo aisee juba Hawa watu 18 mpaka 22 wengine ni wamaza tayari so sio mabinti wadada ni wale wasioolewa hata akiwa 50+ ni mdada hadi azae ndio mama
Asante sana MkuuMbibi 55-65
Nyanya 65+
Na mkiwa mmewaelewa mnajiachia mwili na roho shoo inakuwa ya kwenda. Ukimpata wa hivi kidume unaenjoyBwana mm mwanaume nikimpenda kiukweli huwa sijivungi ukatae wewe labda.