Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea Kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha TLP Taifa Augustino Lyatonga Mrema.
Tunatoa pole Kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa TLP na watanzania wote kwa msiba huu mzito.
Tutamkumbuka Mzee Mrema kwa...