Recent content by Bavaria

  1. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukifika unatakiwa kuanza kuwa makini kuchagua vyakula na vinywaji

    Bora kuanza mapema kuliko usubiri ushauri wa daktari.
  2. Bavaria

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Stand ya Mbezi ni substandard.
  3. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Ina maana magari yanayomilikiwa na kuendeshwa na wanawake hayali mafuta, spea sio garama, watunzaji sana?

    Wanawake ni binadamu wanaendesha magari vibaya mno. Awe lena au mzoefu. Kote yupo hovyo.
  4. Bavaria

    JamiiForums Tanzania SGR vs BMW x3 F25

    IST inashindaje barabara zimeumuka kama maandazi? Hizo barabara unahitaji SUV ambazo ni stable sana kwa mwendo mkali.
  5. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Kila mtu akijiajiri nani atafanya kazi kwa mwenzake? Umewaza kuhusu walimu? Madaktari? Polisi? N.k
  6. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Unaumia uwanjani kuimbwa Wanasiasa, ulitaka aimbwe Shangazi yako?

    Na watanzania walivyo wapuuzi bado wataendelea kufuatilia mpira wa bongo. Mnatukanwa na bado mnaendelea na hao watu wanaowatukana. Low IQ people.
  7. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Magari ya kutoka China yashika soko SA

    Hivi hizi EVs ukinunua inabidi ujenge charging station yako home?
  8. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Gari “Namba D” zimeenda wapi?

    Wengine bado tunatumia namba C.
  9. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Kwa ukiritimba alio nao Dangote bora atafutwe mwekezaji mwingine

    Serikali inashindwa vipi kuingia ubia na Dangote kujenga hiko kiwanda? Itoe mtaji nusu kuchagia ujenzi. Itapunguza nguvu ya Dangote.
  10. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Ni mapema sana kutoa hukumu. Muda utatuambia.
  11. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Used market for EVs litakuwa very brutal.
  12. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa vyombo vya moto: Kati ya gari na pikipiki kipi kina mwendo wa haraka zaidi?

    Inategemea aina ya vyombo ya moto. Ila ukichukua top of the line katika each category, gari inaikalisha pikipiki.
Back
Top Bottom