Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,302
- 17,389
Hiyo 160 km/h itapatikana on average au zaidi. Bmw x3 inakwenda mpaka 260 km/h. Na kufikia 160 km/h kwa Bmw x3 ni kugusa tu ambapo SGR inachukua muda kidogo kufikia hiyo speed
hiyo siyo ishu, nafikiri mada inahusu mazingira ya tanzagiza kama yalivyo sasa hivi hauwezi kuendesha gari 160 km/h kwa zaidi ya 100 km constantly kwa maana tanzagiza hakuna 4-lane highway system kwanza max. speed allowed by law in tanzagiza ni 100km/h vs sgr inaweza kwenda hiyo speed 160km/h +/- labda itasimama stesheni tu na baada ya hapo mwendo ni ule ule
bottomline: kwa gari hauwezi kuwa faster klk sgr kwa tanzagiza na haijalishi aina ya gari ...