Recent content by BatteryLow

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lijue soko la HISA

    Kuna mtu aliuliza kama Dangote wanauza hisa lkn sijaona jibu, na mm nauliza swali hilo hilo. Je, Dangote wanauza hisa au watauza? Na ni lini? Jibu tafadhali.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Kulevya: Rumishael Shoo (Rummy) ndani ya mikono 'salama' ya Polisi

    Hapo ss naanza kuamini kazi imeanza, kama wameanza kuwadaka akina Rumishael, kwa mara ya kwanza nimemuaminia Makonda.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nini kilikwamisha Meli kubwa kutia nanga bandari Mtwara?

    Malori yalikuwa hayashushwi bwana!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Meli iliyobeba malori 600 ya kiwanda cha Dangote yatia nanga Bandari ya Mtwara

    Nadhani atakuwa ndiye muwekezaji aliyewekeza kwa mtaji mkubwa kuliko wote hapa Tz, bila kujali kama ni mwekezaji wa ndani ama wa nje, duuh
  5. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Dereva atiwa mbaroni kwa kuachia usukani na kuanza kucheza wimbo wa msanii Darasa

    pia nimegundua hii gari haikuwa na abiria, ni waliamua tu kufanya shooting
  6. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Dereva atiwa mbaroni kwa kuachia usukani na kuanza kucheza wimbo wa msanii Darasa

    hawana kosa kabisa, tatizo ni haka kamziki, kamekuwa katamu sana. mi mwenyewe nimekosea kumimina chai kwenye kikombe nikamimina kwenye kopo la sukar
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tunasubiri ujio wa BOEING mpya, TRUMP afuta order ya ununuzi wa BOEING

    mbona nasikia wameahirisha kumuapisha January?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hisa za makampuni ya simu

    Tungewezeshwa kununua pia kupitia mitandaoni!
  9. B

    JamiiForums Tanzania ANZISHENI TIMU ZENU!

    Ok, uko vizuri, lakini labda mm sielewi tofauti ya ku-binafsisha na ku-wekeza.
  10. B

    JamiiForums Tanzania ANZISHENI TIMU ZENU!

    Nimefurahia sana Serikali kuwapiga 'stop' wafanyabiashara wanaonyemelea kuwekeza kwenye vilabu vikubwa vya soka Tz, Yanga na Simba. Ushauri wangu kwa hili ni kuwataka wafanyabiashara hawa kuanzisha vilabu vyao kama alivyofanya mwenzao kwa kuanzisha Azam na ikawa moja ya timu zinazofanya vizuri...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chupi Yamwumbua Masai

    Umegundua kwa nini tangu jana hujapata hata comment 1?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

    Hiyo ni namba ya Tigo na hutumiwa kutokea ofisini kwao kuwasiliana na wateja hasa Invoice msg iliyorekodiwa, huwezi kupiga wala kutuma msg kwa no. hiyo. Ova!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais aahirisha kwenda Zambia, kuwakilishwa na Makamu wa Rais

    Hapo kuna viherehere wameumbuka maana walisubiri tu aende waanze kuropoka kwemye vyombo vya habari, wamebadilishiwa gea angani.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kweli Kingereza kilikuja na Meli...Huyu mrembo anavunja dictionary

    an simply i decided to happy again, duuh, sawa buana ebu ngoja niende hapo toileti paper kwanza.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Misemo mingine mbona mimi siielewi

    Ww hunitakii mema ww, sheria ya mtandao...
Back
Top Bottom