Misemo mingine mbona mimi siielewi

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
447
Points
225

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
447 225
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
8,067
Points
2,000

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
8,067 2,000
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa

!
!
anamaanisha "miundombinu" ya huyo mkuu wa mkoa iko vizuri mno yaani natacore yake mistari ya kontua iko mingiiiii halafu ipo karibu karibu mno kuashiria muinuko mkali na mkubwa, kichuguu fulani amazing
 
Kifyatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
3,385
Points
2,000

Kifyatu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
3,385 2,000
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
Kuchura =
Uchinvi,
Kumtakia mwenzio maafa au bahati mbaya,

Kumchuria mtu ni kumtakia au kumuombea huyo mtu kifo au mabaya.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
15,101
Points
2,000

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
15,101 2,000
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
Ungefanya la maana sana kama ungeweka picha ya huyo mkuu wa mkoa!!sasa sisi tutaaminije kama kaficha huyo chura!!kwanza tayari huyo ni nyaraka za serikali kwa nini ana chura!!
 
Forum statistics

Threads 1,391,784
Members 528,461
Posts 34,088,923
Top